JESCA : Mke wa Kafulila anayeiota Escrow
Miezi kadhaa iliyopita taifa lilishuhudia kuibuliwa kwa sakata la ufisadi wa zaidi ya Sh300 bilioni, katika Akaunti ya Tegeta Escrow na kusababisha mawaziri kadhaa kuachia ngazi. Ufisadi huo, uliibuliwa na mbunge wa Kigoma Kusini, (NCCR –Mageuzi) David Kafulila ambaye alieleza Bunge jinsi fedha hizo zilivyochotwa na baadhi ya watumishi wa Serikali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Kafulila azidi kukomaa na Escrow
10 years ago
Habarileo07 Feb
Kafulila akwama kufufua ya Escrow
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ameshindwa kuwasilisha hoja binafsi, kuitaka Serikali iwasilishe bungeni ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuhusu uchunguzi wa tuhuma za rushwa katika sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow.
10 years ago
Mwananchi29 Apr
Escrow yampa tuzo Kafulila
10 years ago
Habarileo25 Nov
Escrow yazuia Kafulila kwenda fungate
SAKATA la wizi wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, limesababisha Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kutokwenda fungate baada ya kufunga ndoa mwishoni mwa wiki.
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Kafulila apeleka kashfa ya Escrow Kigoma
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR Mageuzi), ameanza ziara ya wiki mbili mkoani Kigoma, akiambatana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Mosena Nyambabe wakipeleka kwa wananchi sakata la ufisadi...
11 years ago
Dewji Blog15 Jul
Kafulila ahojiwa na Takukuru kuhusu ESCROW
Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila NCCR-Mageuzi.
Na Mwandishi wetu
Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila amehojiwa na kuwasilisha ushahidi wake kwa maandishi kuhusu suala la tuhuma za wizi katika akaunti ya Tegeta Escrow huku akieleza sababu zake ni kwanini anataka Bunge lichunguze badala ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali na Takukuru
Kafulila ametoa andiko la kurasa saba kwenda kwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru huku nakala zikitolewa kwa Spika wa Bunge na Mkaguzi na...
10 years ago
Vijimambo06 Jan
Kafulila: Nina bomu zito la Escrow
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, amesema kwamba analo bomu lingine kuhusu sakata ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow.
Mbunge huyo amesema bomu hilo likilipuka litaitikisa serikali na vigogo waliohusika katika kashfa hiyo, akiwamo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
Kafulila amesema kutokana na...
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Kafulila alivyoibua ufisadi akaunti ya escrow