Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kafulila ahojiwa na Takukuru kuhusu ESCROW

escrow

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila NCCR-Mageuzi.

Na Mwandishi wetu

Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila amehojiwa na kuwasilisha  ushahidi wake kwa maandishi  kuhusu suala la tuhuma za wizi katika akaunti ya Tegeta Escrow huku akieleza sababu zake ni kwanini anataka Bunge lichunguze badala ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali na Takukuru

Kafulila ametoa andiko la kurasa saba kwenda kwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru huku nakala zikitolewa kwa Spika wa Bunge na Mkaguzi na...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

KwanzaJamii

KAFULILA AMVAA TENA CAG UTOUH KUHUSU RIPOTI AKAUNTI YA ESCROW

Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, ametoa lawama kwa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) Ludovick Utoh,  kwa kuchelewesha ripoti ya uchunguzi wa fedha za akaunti ya Escrow kazi aliyopewa na Bunge la Jamhuri. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kafulila alisema licha ya kupewa kazi hiyo tangu Machi 20, mwaka huu, lakini mpaka sasa ameshindwa kukabidhi ripoti ya uchunguzi kwa bunge...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu ahojiwa na Takukuru kwa rushwa

>Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Singida, inamhoji Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kwa tuhuma za kukiuka Sheria ya Gharama za Uchaguzi na Sheria ya Kupambana na Rushwa namba 11 ya mwaka 2007.

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU AHOJIWA MASAA MATATU NA TAKUKURU


Ofisi ya Takukuru mkoani Singida imemuhoji kwa masaa kadhaa naibu waziri wa fedha na aliye kuwa mbunge wa Iramba Magharibi Mheshimiwa Mwigulu Nchemba, kwa tuhuma za kukiuka sheria ya garama ya uchaguzi na sheria ya kuzui na kupambana na rushwa.Akiongea na waandishi wa habari mkuu wa Takukuru mkoani Singida Bwana Joshua Msuya amesema Mheshimiwa Mwigulu Nchemba amekiuka sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11/2007 katika zoezi linalo ndelea la kura za maoni ndini ya vyama vya...

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA ESCROW: OFISA WA IKULU AHOJIWA NA TUME YA MAADILI

Ofisa wa Ikulu, Rajab Shaban (katikati) akitoka katika chumba cha mahojiano.
Tume ya Maadili, katikati ni Jaji Hamis Msumi.
Rajab Shaban akitoa ufafanuzi kuhusu kashfa ya kuingiziwa…

 

10 years ago

Mwananchi

Kafulila azidi kukomaa na Escrow

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amesema atawasilisha bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na imani na Serikali, iwapo ripoti za uchunguzi wa mabilioni ya fedha za Escrow zilizotochotwa kifisadi haitajadiliwa Bunge lijalo.

 

10 years ago

Habarileo

Kafulila akwama kufufua ya Escrow

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) ameshindwa kuwasilisha hoja binafsi, kuitaka Serikali iwasilishe bungeni ripoti ya Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), kuhusu uchunguzi wa tuhuma za rushwa katika sakata la iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Mwananchi

Escrow yampa tuzo Kafulila

>Sakata la uchotwaji wa fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow limemng’arisha Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi),  David Kafulila baada ya kutunukiwa tuzo ya kutambua mchango wake katika kufichua ufisadi huo uliohusisha uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka 8 ahojiwa kuhusu ugaidi

Mtoto mwenye umri wa miaka 8 alihojiwa na polisi kwa nusu saa Jumatano baada ya madai kwamba alitoa matamshi ya kuwasifu magaidi akiwa shuleni.

 

11 years ago

BBCSwahili

Sarkozy ahojiwa kuhusu fedha za uchaguzi

Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy anashikiliwa akihojiwa kutokana na matumizi mabaya ya fedha za uchaguzi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani