Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto wa miaka 8 ahojiwa kuhusu ugaidi

Mtoto mwenye umri wa miaka 8 alihojiwa na polisi kwa nusu saa Jumatano baada ya madai kwamba alitoa matamshi ya kuwasifu magaidi akiwa shuleni.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Kafulila ahojiwa na Takukuru kuhusu ESCROW

escrow

Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila NCCR-Mageuzi.

Na Mwandishi wetu

Mbunge wa Kigoma kusini David Kafulila amehojiwa na kuwasilisha  ushahidi wake kwa maandishi  kuhusu suala la tuhuma za wizi katika akaunti ya Tegeta Escrow huku akieleza sababu zake ni kwanini anataka Bunge lichunguze badala ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali na Takukuru

Kafulila ametoa andiko la kurasa saba kwenda kwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru huku nakala zikitolewa kwa Spika wa Bunge na Mkaguzi na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Sarkozy ahojiwa kuhusu fedha za uchaguzi

Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy anashikiliwa akihojiwa kutokana na matumizi mabaya ya fedha za uchaguzi

 

9 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa miaka 9 aozeshwa na baba yake kwa mwanaume mwenye miaka 60

 Untitled

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9).

Untitled 1

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi.

2 (2)

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia).

3

Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo,...

 

11 years ago

Dewji Blog

INASIKITISHA SANA: Mtoto wa miaka 4 afichwa katika Boksi miaka 4

DSC01716mtotot

Maria Said mama mkubwa wa Nasra, (katikati) ni baba mzazi wa Nasra, Rashidi Mvungi, na (kulia) ni mume wa Mariam Said wakiwa katika ofisi za ustwawi wa jamii mjini Morogoro baada ya kukamatwa na kufikishwa polisi kwa tuhuma za kumficha mtoto huyo ndani ya box kwa miaka 4 baada ya mama wa mtoto huyo kufariki dunia kwa ugonjwa wa Malaria.

MUME na mke wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumficha mtoto kwa miaka 4 ndani ya Box .

Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Leonard Paul...

 

10 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Tanzania yaonya kuhusu ugaidi

Serikali ya Tanzania imesema kuwa itazichukulia hatua kali taasisi ama kikundi chochote kitakachogundulika kujihusisha na kutoa mafunzo ya vitendo vinavyoashiria ugaidi

 

11 years ago

Mwananchi

Baba wa miaka 54 aoa mtoto wa miaka minane

Polisi Wilaya ya Bunda, wanamshikilia baba mwenye umri wa miaka 54 kwa tuhuma kuoa mwanafunzi wa kike wa umri wa miaka minane.

 

10 years ago

Habarileo

'Mtoto wa miaka 10 ana mtoto'

WIMBI la watoto wenye umri chini ya miaka 18 kupata ujauzito limetajwa kuhatarisha uhai wa mama na mtoto wakati wa kujifungua suala ambalo serikali na wadau wengine wameomba kuendelea kuelimisha jamii kudhibiti mimba za utotoni.

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani,  Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani