Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani,  Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KAMANDA WA POLISI MKOA WA DODOMA AONGEA NA VIONGOZI WA TARAFA YA DODOMA MJINI KUHUSIANA NA HALI YA ULINZI NA USALAMA PAMOJA NA MATISHIO YA UGAIDI MKOANI HUMO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SACP David Misime akitoa elimu katika mkutano huo.Balozi Mstaafu Job Lusinde Mwenyekiti wa Baraza la wazee Mkoa wa Dodoma akiongea jambo.Padre Thomas V. Lali Katibu Mkuu jimbo kuu Dodoma akizungumza katika mkutano huo.
Sheke AHMAD SAID akizungumza katika mkutano huo.
  Na Lakia Ndwellah wa Jeshi la Polisi Dodoma
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amewataka viongozi wa Tarafa ya Dodoma mjini kuwaelimisha...

 

9 years ago

GPL

MTUHUMIWA UGAIDI ANASWA NA POLISI!

Mtuhumiwa  huyo akiwa kituoni. Na Makongoro Oging’ HALI tete! Jeshi la Polisi Mkoa wa Temeke, Dar lilifanikiwa kumdhibiti mtu mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja kufuatia madai ya kuvamia Kituo cha Polisi Charambe akiwa na panga. Habari zilizopatikana kutoka kwa raia wa eneo hilo ambao walimtafsiri mtu huyo kama gaidi kutokana na ujasiri wake wa kuvamia kituo kwa mapanga kwa lengo la kutaka kuwajeruhi askari...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugaidi:Kamanda wa polisi atimuliwa Tunisia

Waziri Mkuu wa Tunisia, Habib Essid, amewaachisha kazi makamanda wa polisi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Polisi wasaka washukiwa wanne wa ugaidi Kenya

Maafisa wa usalama nchini Kenya wanawasaka washukiwa wanne wa ugaidi ambao wanadaiwa kukwepa msako wa polisi katika nyumba moja Mombasa.

 

9 years ago

Habarileo

Polisi kupeleka wapelelezi Kenya tukio la ugaidi

POLISI imesema inaandaa mipango ya kumtuma mtu nchini Kenya kwa ajili ya kupata taarifa kamili kuhusu, madai ya kukamatwa kwa Watanzania sita na kuhusishwa na ugaidi nchini Kenya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mshukiwa wa ugaidi ajisalimisha kwa polisi Kenya

Mmoja wa washukiwa wanne wa ugaidi waliokwepa msako wa polisi mjini Mombasa Jumatatu amejisalimisha kwa polisi akisindikizwa na babake.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata watu 38 wanaotuhumiwa kwa ujambazi, ugaidi

Jeshi la Polisi limewakamata watu 38 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi ambao pia wamepatiwa mafunzo ya kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Lindi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa wa ugaidi Arusha afariki mikononi mwa polisi

Hatimaye Abdulkarimu Thabiti Hasia aliyekuwa akituhumiwa kwa ugaidi, amefariki katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru alipokuwa amelazwa kwa miezi sita akiwa mikononi wa polisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais KIkwete: Uvamia wa polisi una dalili za ugaidi

Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amedokeza kuwa matukio ya watu wasiojulikana kuvamia vituo vya polisi, kupora silaha na kuwashambulia askari kuwa, “yana sifa za ujambazi na mwelekeo wa kigaidi.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani