Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yakamata watu 38 wanaotuhumiwa kwa ujambazi, ugaidi

Jeshi la Polisi limewakamata watu 38 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi ambao pia wamepatiwa mafunzo ya kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Lindi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ....: WANAOTUHUMIWA KWA UJAMBAZI WA SILAHA WATIWA MBARONI JIJINI DAR

Watuhumiwa wa Ujambazi wakiwa wamewekwa chini ya Ulinzi mara baada ya kutiwa mbaroni kwenye mataa ya Red cross katikati ya jiji Dar es salaam muda huu. inaelezwa kuwa Majambazo hao walimvamia na kumpora raia mmoja wa kigeni (Mzungu) maeneo ya Kinondoni na kufanikiwa kukimbia, lakini kumbe wakati wanafanya tukio hilo kuna raia aliwaona na alijitolea kuwakimbiza kwa gari na kuwanikiwa kuwablock maeneo hayo ya Red Cross ambapo huwa na askari wengi wa doria, wamekamatwa na bunduki mbili.

 

10 years ago

GPL

TAMKO LA KUDHALILISHWA KWA MASHEIKH WANAOTUHUMIWA KWA UGAIDI

Katibu Mkuu wa Baraza Kuu na jumuiya na taasisi za Kiislam Tanzania, Ramadhani Sanze akisisitiza jambo. Sheikh Ally Baswalehe akisikiliza swali.…

 

9 years ago

Mwananchi

Watu 71 mbaroni Dar kwa ujambazi, madawa

Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam inawashikilia watu 71 kwa tuhuma mbalimbali ikiwamo ujambazi wa kutumia silaha na pikipiki aina ya Boxer.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Watu 17 kortini kwa ugaidi


NA MWANDISHI WETU
WATU 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya kula njama za kuwaingiza watu nchini kushiriki vitendo vya ugaidi na kusaidia na kuwezesha kufanyika.
Jihad Swalehe, mmoja wa washitakiwa waliofikishwa mahakamani hapo jana saa 7.20 mchana chini ya ulinzi mkali wa polisi, alisomewa mashitaka peke yake ya kula njama za kusaidia na kuwezesha kufanyika vitendo vya kigaidi.
Washitakiwa wengine ni wanaohusika na mashitaka ya kula...

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani,  Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 26 kunyongwa Misri kwa Ugaidi

Ni baada ya mahakama kuwapata na hatia ya kuunda kundi la kigaidi kushambulia meli kwenye kito cha Suez

 

11 years ago

Mwananchi

Watu 17 Dar kizimbani kwa ugaidi

Watu 17 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwamo za kujihusisha na matukio ya ugaidi nchini na katika nchi jirani ya Kenya.

 

11 years ago

Mwananchi

SHERIA: Watu sita wapandishwa kizimbani kwa ugaidi

>Watuhumiwa sita wa matukio ya ugaidi katika Jiji la Arusha jana walipandishwa kizimbani wakiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi kujibu tuhuma za kufanya matendo ya kigaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani