Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utulivu utawale mjadala wa Akaunti ya Escrow

Baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kuwasilisha bungeni ripoti kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow juzi, tunapenda kulipongeza Bunge kwa kuipa kamati hiyo ya PAC, chini ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jukumu hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MJADALA WA SAKATA AKAUNTI YA ESCROW BUNGENI LEO

Nchambi: Anailaumu serikali kwa kuchelewesha kuleta jambo husika bungeni, watanzania wana hamu ya kujua fedha ni nani? Wakili wa TANESCO (Mkono) alishauri kufunguliwa akaunti (ananukuu maandiko ya biblia kuhusu kuheshimu mamlaka), anasema kila mtu atawajibika kwa namna yake. Mbunge wa Kishapu (CCM), Suleiman Masoud Nchambi. Hasara nyingine tuliyoipta ni gharama za mawakili(bilioni 62) ambayo watuwengi hawaigusii, kesi imeenda...

 

9 years ago

Habarileo

Vijana CUF wahimiza utulivu utawale Zanzibar

CHAMA cha Wananchi (CUF) kupitia Umoja wao wa Vijana (JUVICUF), kimewataka vijana wawe watulivu, wasikilize viongozi wao na juhudi wanazofanya kupatia ufumbuzi tatizo la kisiasa Zanzibar.

 

10 years ago

Habarileo

Usahihi wa fedha akaunti ya Escrow

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Juma AssadWAKATI kukiwa na taarifa zinazochapishwa na vyombo vya habari kuwa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa Benki Kuu (BoT), kwa mujibu wa makubaliano yaliyofanyika Julai 5, 2006, zilikuwa Sh bilioni 306.6, kabla ya kutolewa kwa fedha hizo mwaka 2013, taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imethibitisha sio kweli.

 

11 years ago

GPL

UKAGUZI MAALUMU AKAUNTI YA TEGETA ESCROW

Katibu wa Kamati ya bunge ya hesabu za serikali (PAC), Zitto Kabwe. Hadidu rejea
1)      Kuchunguza uendeshaji wa mkataba wa kuzalisha Umeme kati ya kampuni ya IPTL na TANESCO
2)      Kuchunguza kama wakati escrow inafunguliwa kampuni ya mechmar ilikuwa inamiliki IPTL, kama ilikuwa imefilisiwa na kama ilikuwa imehamisha umiliki wake kwa kampuni ya PAP.
3)      Kuchunguza na...

 

10 years ago

Mwananchi

Kafulila alivyoibua ufisadi akaunti ya escrow

Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila ameeleza namna alivyoibua sakata la uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow na kudokeza kuwa kitendo cha baadhi ya watuhumiwa kugoma kujiuzulu, kinaonyesha kuna watu zaidi wanahusika.

 

10 years ago

Habarileo

Ukweli wazidi kubainika akaunti ya Escrow

TAARIFA zaidi zimezidi kupatikana kuhusu sakata la Escrow, linalohusisha makubaliano baina ya serikali, Kampuni ya kufua umeme ya Independet Power Tanzania Limited (IPTL) na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kama wakala wa Escrow kuwa yalikuwa ni makubaliano ya kisheria.

 

11 years ago

Mwananchi

Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow

>Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila jana aliibua tuhuma nzito bungeni akiwahusisha mawaziri wawili na Sh200 bilioni zilichotwa katika Akaunti ya Escrow, iliyokuwa inamilikiwa kwa pamoja kati ya Tanesco na Kampuni ya kufua umeme ya IPTL.

 

10 years ago

Habarileo

Akaunti ya Escrow bado kitendawili bungeni

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi JARIBIO la wabunge la kuishinikiza Serikali kuwasilisha bungeni ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu madai ya kuchotwa kwa zaidi ya Sh bilioni 200 kutoka katika akaunti ya Escrow, limekwama.

 

11 years ago

Mwananchi

Uongo kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow uachwe

Kwa mara nyingine Serikali kupitia viongozi na watendaji wake, akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha Dola 250 milioni za Kimarekani zilizopaswa kuendelea kuwapo kwenye ‘Tegeta Escrow Account’ si mali ya Serikali na hivyo si mali ya umma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani