Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MJADALA WA SAKATA AKAUNTI YA ESCROW BUNGENI LEO

Nchambi: Anailaumu serikali kwa kuchelewesha kuleta jambo husika bungeni, watanzania wana hamu ya kujua fedha ni nani? Wakili wa TANESCO (Mkono) alishauri kufunguliwa akaunti (ananukuu maandiko ya biblia kuhusu kuheshimu mamlaka), anasema kila mtu atawajibika kwa namna yake. Mbunge wa Kishapu (CCM), Suleiman Masoud Nchambi. Hasara nyingine tuliyoipta ni gharama za mawakili(bilioni 62) ambayo watuwengi hawaigusii, kesi imeenda...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utulivu utawale mjadala wa Akaunti ya Escrow

Baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kuwasilisha bungeni ripoti kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow juzi, tunapenda kulipongeza Bunge kwa kuipa kamati hiyo ya PAC, chini ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jukumu hilo.

 

10 years ago

GPL

SOMA TAARIFA YA PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo. TAARIFA YA WAZIRI WA NISHANI NA MADINI PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO BONYEZA HAPA…

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIO MAELEZO YA SERIKALI KUHUSU SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo.
TAARIFA YA WAZIRI WA NISHANI NA MADINI PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO BONYEZA HAPA USOME TAARIFA KAMILI

 

10 years ago

GPL

WASHTAKIWA WAWILI WA SAKATA LA AKAUNTI YA ESCROW WAPANDISHWA KIZIMBANI

WATU wawili Rugonzibwa Mujunangoma na Theophillo Bwakea wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka ya rushwa baada ya kupokea mgao wa Sh. Milioni 485.1 kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow walizohamishiwa na James Rugemalira. Katika kesi ya kwanza, aliyekuwa Mwanasheria wa Mamlaka ya Vizazi na Vifo (Rita) Mujunangoma ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Sheria Wizara Ardhi,...

 

10 years ago

Habarileo

Akaunti ya Escrow bado kitendawili bungeni

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi JARIBIO la wabunge la kuishinikiza Serikali kuwasilisha bungeni ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu madai ya kuchotwa kwa zaidi ya Sh bilioni 200 kutoka katika akaunti ya Escrow, limekwama.

 

10 years ago

Habarileo

Mjadala wa Escrow wawa moto bungeni

Naibu Spika wa Bunge, Job NdugaiRIPOTI ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu kuchotwa kunakodaiwa isivyo halali kwa fedha katika Akaunti ya Escrow, sasa haitajadiliwa bungeni.

 

10 years ago

Mwananchi

Makundi ya urais yatawala mjadala wa Escrow bungeni

Makundi ya urais ndani ya CCM ni miongoni mwa mambo ambayo yameuteka mjadala wa Akaunti ya Escrow katika Bunge.

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA TEGETA ESCROW, WABUNGE WAKINUKISHA BUNGENI

Naibu Spika wa Bunge, Job Dungai, yeye ndiye kashikilia rungu, Ripoti " ijadiliwe au la". Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali, (PAC), Zitto Kabwe. Taarifa ya CAG kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow, iko mikononi mwake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani