Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mhe livingstone lusinde "kibajaji" alipochangia mjadala wa sakata la escrow bungeni

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MJADALA WA SAKATA AKAUNTI YA ESCROW BUNGENI LEO

Nchambi: Anailaumu serikali kwa kuchelewesha kuleta jambo husika bungeni, watanzania wana hamu ya kujua fedha ni nani? Wakili wa TANESCO (Mkono) alishauri kufunguliwa akaunti (ananukuu maandiko ya biblia kuhusu kuheshimu mamlaka), anasema kila mtu atawajibika kwa namna yake. Mbunge wa Kishapu (CCM), Suleiman Masoud Nchambi. Hasara nyingine tuliyoipta ni gharama za mawakili(bilioni 62) ambayo watuwengi hawaigusii, kesi imeenda...

 

10 years ago

Habarileo

Mjadala wa Escrow wawa moto bungeni

Naibu Spika wa Bunge, Job NdugaiRIPOTI ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu kuchotwa kunakodaiwa isivyo halali kwa fedha katika Akaunti ya Escrow, sasa haitajadiliwa bungeni.

 

10 years ago

Mwananchi

Makundi ya urais yatawala mjadala wa Escrow bungeni

Makundi ya urais ndani ya CCM ni miongoni mwa mambo ambayo yameuteka mjadala wa Akaunti ya Escrow katika Bunge.

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA TEGETA ESCROW, WABUNGE WAKINUKISHA BUNGENI

Naibu Spika wa Bunge, Job Dungai, yeye ndiye kashikilia rungu, Ripoti " ijadiliwe au la". Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya hesabu za serikali, (PAC), Zitto Kabwe. Taarifa ya CAG kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow, iko mikononi mwake.…

 

10 years ago

Michuzi

news alert: SPIKA ASITISHA BUNGE HADI WATAPOJADILIANA TENA BAADA YA SINTOFAHAMU WAKATI WA MJADALA MKALI WA SAKATA LA ESCROW


Sintofahamu iliyotokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma Ijumaa Novemba 28, 2014 imepelekea Spika Anne Makinda (pichani) kulazimika kusitisha shughuli za Bunge mpaka hapo watapojadiliana tena. 
Hii ni baada ya majadiliano makali kuhusu kuwajibishwa ama la kwa viongozi wanaohusika na sakata la akaunti ya Escrow. Hali hii iliibuka baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na kambi ya upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe kuinuka na kusema kuwa Bunge kufikisha saa tano kasoro ni historia, na kwamba kuna...

 

10 years ago

GPL

SOMA TAARIFA YA PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo. TAARIFA YA WAZIRI WA NISHANI NA MADINI PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO BONYEZA HAPA…

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIO MAELEZO YA SERIKALI KUHUSU SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo.
TAARIFA YA WAZIRI WA NISHANI NA MADINI PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO BONYEZA HAPA USOME TAARIFA KAMILI

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI SITTA ASEMA MJADALA UNAENDELEA WAKATI MHE EZEKIEL OLUOCH AREJEA BUNGENI AKITANGAZA HANA KUNDI

Wakati bunge Maalum la Katiba linaendelea na kikao leo,  baadhi ya wajumbe waliokuwa wanasemekana kuwa ni wanachama wa umoja wa kinachoitwa katiba ya wananchi (UKAWA) wamejitokeza  na baadhi yao kukanusha kuunga mkono umoja huo. Mmoja wao ni Mhe Ezekiel Oluoch ambaye  alikuwa anadaiwa  kuwa miongoni mwa WANA UKAWA aliingia Bungeni jana na kukana kuhusika na umoja huo  na kuongeza kuwa yeye hana kundi lolote ndani ya bunge, na kwamba ataendelea na kazi ya aliyoteuliwa kuifanya.  Mjumbe wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani