Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge wa Mtera Mhe. Livingstone Lusinde alipochangia mjadala wa kuanzishwa kwa baraza la Taifa la vijana bungeni mjini Dodoma

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vijana waridhishwa na mswada uliopitishwa bungeni wa kuanzishwa baraza la vijana la Taifa

Na Mwandishi wetu
Vijana wameridhishwa na mswada uliopitishwa bungeni wa kuanzishwa baraza la vijana la Taifa na kudai kuwa hiyo ndio njia mojawapo vijana wanaweza kuendeleza shughuli zao za maendeleo .
Wamedai kuwa katika mswada huo vijana wanangazi zao za uongozi kutoka vijijini hadi kitaifa na hali hiyo inakuwa ni rahisi vijana kuwa na uwezo wa kuelezea changamoto zinazowakabili .
Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es salaam na shirika la Restless Development Tanzania – ICS) ...

 

10 years ago

Vijimambo

MUSWADA BINAFSI WA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA KUJADILIWA BUNGENI TAREHE 31 MACHI 2015



Nashukuru wote ambao mmekuwa mkifuatilia hatma ya muswada binafsi wa Baraza la Vijana la Taifa niliouwasilisha tarehe 31 Oktoba 2013.

Vijana na wadau wa maendeleo ya vijana mzingatie kwamba muswada huo hatimaye umepangwa kusomwa kwa mara ya pili na kujadiliwa Bungeni Jumanne tarehe 31 Machi 2015 katika Mkutano wa 19 wa Bunge.

Muswada huo ulisomwa kwa mara ya kwanza katika Mkutano wa 14 wa Bunge tarehe 21 Disemba 2013. Maoni kutoka kwa wadau yalikusanywa Oktoba 2014 na Kamati ya Kudumu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MWILI WA MHE. EUGEN MWAIPOSA ALIYEKUWA MBUNGE WA UKONGA WAAGWA MJINI DODOMA

6Mwili wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga ukiwasili kwenye viwanja vya bunge jana mjini Dodoma kwa ajili ya kuagwa.12Wabunge Mhe. Anna Abdalla (kushoto) na Mhe. Ester Bulaya wakiaga mwili wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwenye viwanja vya bunge jana mjini Dodoma.4Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake Mhe. Anna Abdallah akimfariji mume wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa mbunge wa Ukonga aliyefariki usiku wa kuamkia Juni 2 nyumbani kwake mjini...

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. SAADA MKUYA SALUM (MB) ALIYOIWASILISHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya akiwasilisha makadirio ya matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2015/16 Bungeni mjini Dodoma Juni 7,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Habarileo

Mawaziri waridhia sheria ya kuanzishwa Baraza la Vijana

Assah MwambeneBARAZA la Mawaziri limeridhia kutungwa kwa Sheria ya Kuanzisha Baraza la Vijana ambalo litakuwa chombo cha kuwaunganisha vijana nchini.

 

10 years ago

Michuzi

Bunge la Pitisha Sheria ya Kuanzishwa Baraza La Vijana

Na Anitha Jonas – MAELEZO,Dodoma.
Serikali inatarajia kuanzisha Baraza la Vijana litakalo kuwa chombo cha vijana kitakacho waunganisha Kitaifa bila kujali itikadi zao za Kisiasa,Imani zao za Kidini wala tofauti zao za Rangi,hayo yamesemwa na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Fenella Mukangara alipokuwa akisoma Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania Bungeni Mjini Dodoma.
Mheshimiwa Mukangara aliendelea kusema Baraza hilo litaisaidia Serikali kuweza kuwafikia vijana kwa...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu amjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimjulia hali Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Wazee Dodoma, Balozi, Job Lusinde, nyumbani kwake, Uzunguni jijini Dodoma, May 19, 2020, ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU BARAZA LA VIJANA TAIFA CHADEMA AKABIDHI KADI KWA MWENYEKITI WA KIJIJI

Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Julius Mwita (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, Mwenyekiti wa Kijiji cha Udomo Kata ya Uchama Jimbo na Wilaya ya Bukene mkoani Tabora, Julius Lubala, baada ya kurudisha kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chadema katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani