Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUSWADA BINAFSI WA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA KUJADILIWA BUNGENI TAREHE 31 MACHI 2015



Nashukuru wote ambao mmekuwa mkifuatilia hatma ya muswada binafsi wa Baraza la Vijana la Taifa niliouwasilisha tarehe 31 Oktoba 2013.

Vijana na wadau wa maendeleo ya vijana mzingatie kwamba muswada huo hatimaye umepangwa kusomwa kwa mara ya pili na kujadiliwa Bungeni Jumanne tarehe 31 Machi 2015 katika Mkutano wa 19 wa Bunge.

Muswada huo ulisomwa kwa mara ya kwanza katika Mkutano wa 14 wa Bunge tarehe 21 Disemba 2013. Maoni kutoka kwa wadau yalikusanywa Oktoba 2014 na Kamati ya Kudumu ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Hatimaye muswada Baraza la Vijana kujadiliwa

HATIMAYE muswada wa uanzishwaji wa Sheria ya Baraza la Vijana wa Mwaka 2013 uliowasilishwa na Mbunge wa Ubungo John Mnyika, utajadiliwa katika mkutano wa 16 na 17 wa Bunge, utakaonza...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana waridhishwa na mswada uliopitishwa bungeni wa kuanzishwa baraza la vijana la Taifa

Na Mwandishi wetu
Vijana wameridhishwa na mswada uliopitishwa bungeni wa kuanzishwa baraza la vijana la Taifa na kudai kuwa hiyo ndio njia mojawapo vijana wanaweza kuendeleza shughuli zao za maendeleo .
Wamedai kuwa katika mswada huo vijana wanangazi zao za uongozi kutoka vijijini hadi kitaifa na hali hiyo inakuwa ni rahisi vijana kuwa na uwezo wa kuelezea changamoto zinazowakabili .
Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es salaam na shirika la Restless Development Tanzania – ICS) ...

 

10 years ago

Habarileo

Bunge lapitisha Muswada wa Baraza la Vijana

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella MukangaraBUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana wa mwaka 2015, uliowasilishwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Toeni maoni muswada baraza la vijana’

KATIBU Ofisi ya Mbunge wa Ubungo, Aziz Himbuka, amewataka wadau mbalimbali kutoa maoni yao juu ya kuboreshwa muswada wa kuunda Baraza la Vijana la Taifa. Akizungumza jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wadau wajadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania

IMG_1226

Muwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Mgaya Ezekiel akichangia wakati wa Semina ya kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Semina hii iliyofanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma imewakutanisha Wadau, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

IMG_1247

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara(kulia) akifurahia...

 

11 years ago

Mwananchi

Muswada wa VAT hatihati kujadiliwa

>Hatima ya Muswada wa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), kujadiliwa katika Mkutano wa 15 wa Bunge iko mikononi mwa Serikali, baada ya Kamati za Kudumu za Bunge kuupinga na kupendekeza urejeshwe katika kamati za kisekta ili ujadiliwe upya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani