‘Toeni maoni muswada baraza la vijana’
KATIBU Ofisi ya Mbunge wa Ubungo, Aziz Himbuka, amewataka wadau mbalimbali kutoa maoni yao juu ya kuboreshwa muswada wa kuunda Baraza la Vijana la Taifa. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Apr
Bunge lapitisha Muswada wa Baraza la Vijana
BUNGE limepitisha Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana wa mwaka 2015, uliowasilishwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara.
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Hatimaye muswada Baraza la Vijana kujadiliwa
HATIMAYE muswada wa uanzishwaji wa Sheria ya Baraza la Vijana wa Mwaka 2013 uliowasilishwa na Mbunge wa Ubungo John Mnyika, utajadiliwa katika mkutano wa 16 na 17 wa Bunge, utakaonza...
10 years ago
Dewji Blog25 Mar
Wadau wajadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania
Muwakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Mgaya Ezekiel akichangia wakati wa Semina ya kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Semina hii iliyofanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma imewakutanisha Wadau, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara(kulia) akifurahia...
10 years ago
VijimamboMUSWADA BINAFSI WA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA KUJADILIWA BUNGENI TAREHE 31 MACHI 2015
Nashukuru wote ambao mmekuwa mkifuatilia hatma ya muswada binafsi wa Baraza la Vijana la Taifa niliouwasilisha tarehe 31 Oktoba 2013.
Vijana na wadau wa maendeleo ya vijana mzingatie kwamba muswada huo hatimaye umepangwa kusomwa kwa mara ya pili na kujadiliwa Bungeni Jumanne tarehe 31 Machi 2015 katika Mkutano wa 19 wa Bunge.
Muswada huo ulisomwa kwa mara ya kwanza katika Mkutano wa 14 wa Bunge tarehe 21 Disemba 2013. Maoni kutoka kwa wadau yalikusanywa Oktoba 2014 na Kamati ya Kudumu ya...
10 years ago
Habarileo28 Dec
‘Wananchi toeni maoni ya miswada
WANANCHI wametakiwa kutumia fursa iliyopo iliyotolewa na Baraza la Wawakilishi ya kutoa maoni ya miswada inayotarajiwa kuwasilishwa mbele ya baraza ili ipate baraka za wananchi na ubora wake.
10 years ago
Dewji Blog29 Mar
Maoni ya mdau Auncle Fafi kuhusu Muswada wa makosa ya kimtandao 2015
Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia inajiandaa kupeleka bungeni muswada wa sheria ya makosa ya mtandao 2015 ambayo unaweza kuisoma kwa kubofya hapa. Kama zilivyo sheria nyingi kabla ya kupitishwa wabunge hupewa nafasi ya kuijadili na kufanya marekebisho pale penye mapungufu. Baada ya kuipitia haraka haraka nimegundua baadhi ya vitu ambavyo naamini havijakaa sawa na nimejaribu kuelezea kwa chini yake. Ni matumaini yangu wabunge wetu wataipitia vizuri zaidi na kugundua mengi ambayo...
10 years ago
MichuziVijana waridhishwa na mswada uliopitishwa bungeni wa kuanzishwa baraza la vijana la Taifa
Vijana wameridhishwa na mswada uliopitishwa bungeni wa kuanzishwa baraza la vijana la Taifa na kudai kuwa hiyo ndio njia mojawapo vijana wanaweza kuendeleza shughuli zao za maendeleo .
Wamedai kuwa katika mswada huo vijana wanangazi zao za uongozi kutoka vijijini hadi kitaifa na hali hiyo inakuwa ni rahisi vijana kuwa na uwezo wa kuelezea changamoto zinazowakabili .
Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es salaam na shirika la Restless Development Tanzania – ICS) ...
9 years ago
MichuziJK: MWENYE TATIZO NA MUSWADA WA HABARI ALETE MAONI SERIKALINI BADALA YA KUKAA NA KULALAMIKA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI· Aunga mkono asilimia 100 staili ya Kampeni ya Magufuli· Asema Tanzania inahitaji mawazo mapya ili iweze kusonga mbele· Atamani muda wake wa kuongoza Tanzania kumalizika haraka zaidiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kama wapo watu binafsi ama taasisi yoyote mahali popote wenye matatizo na Sheria ya Takwimu mpya...
10 years ago
MichuziMAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MASOKO YA BIDHAA YA MWAKA 2015 (COMMODITY EXCHANGE ACT,2015)