Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ripoti ya ufisadi kuwasilishwa bungeni

Kamati ya kudumu ya bunge ya Hesabu za Serikali, inatarajiwa kuwasilisha bungeni leo ripoti ya uchunguzi kuhusu sakata la ufisadi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ripoti ya maoni inayohusu mabadiliko ya Tabianchi kuwasilishwa Peru

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto), akipokea ripoti ya maoni inayohusu mabadiliko ya Tabianchi kutoka kwa Uester Kibona ambaye ni mwenyekiti wa Asasi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira (FORUM CC). Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge  (wa kwanza kushoto) na Naibu Waziri  Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu (wa pili...

 

10 years ago

Mtanzania

Muswada wa habari kuwasilishwa bungeni

Na Debora Sanja, Dodoma
HATIMAYE Muswada wa Sheria ya kupata Habari na Muswada wa Sheria ya Vyombo vya Habari ya Mwaka 2015, inatarajiwa kuwasilishwa bungeni katika mkutano wa 19 wa Bunge unaoanza leo mjini hapa.
Miswada hiyo inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura na inakusudiwa kupitishwa na Bunge katika hatua zake zote.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa mjini hapa jan,a mbali na miswada hiyo kuwasilishwa, pia miswada mingine minne inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura.
“Miswada...

 

10 years ago

Mwananchi

Miswada miwili ya habari kuwasilishwa ‘kimafia’ bungeni

Licha ya wadau wa habari kuwasilisha ombi kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda wakitaka miswada miwili ya habari ya mwaka 2015 iwasilishwe kwa mfumo wa kawaida, Serikali imeing’ang’ania huku ikisema itawasilishwa chini ya hati ya dharura Jumanne ijayo.

 

10 years ago

Michuzi

RASIMU YA KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA KUWASILISHWA BUNGENI SEPTEMBA 24 MWAKA HUU

Na Benedict Liwenga na Magreth Kinabo.
RASIMU ya Katiba  Mpya  iliyopendekezwa inatarajiwa  kuwasilishwa  katika Bunge Maalum la Katiba Septemba 24, mwaka huu.
Mabadiliko hayo yametangazwa leo jioni na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahya Khamis Hamad wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.
Aidha Katibu huyo amesema uamuzi wa mabadiliko hayo, umetokana na kufanyika kikao baina ya Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi. 
Hata hivyo Katibu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ripoti ya ufisadi na uozo IAAF kutolewa

IAAF leo itapokea matokeo ya uchunguzi huru kuhusu madai ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli miongoni na ufisadi mwa wanariadha Urusi.

 

10 years ago

Vijimambo

RIPOTI YA CAG IMEIBUA UFISADI MKUBWA

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad.
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za mitaa,mashirika ya umma na serikali kuu.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa ripoti ya ukaguzi mjini Dodoma jana,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad alisema ukaguzi huo umefanywa katika taasisi 176 za Serikali kuu, halmashauri 163 na mashirika ya umma...

 

10 years ago

GPL

RIPOTI YA ESCROW YAWASILISHWA BUNGENI

MWENYEKITI wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe hivi sasa anawasilisha bungeni maoni ya kamati hiyo kuhusu ripoti ya kuchotwa zaidi ya shilingi bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 years ago

Habarileo

Maliasili waagizwa kupeleka ripoti bungeni

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli KAMATI ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imeiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa amri ya Mahakama ya kutaka hoteli zote katika mbuga za wanyama za taifa kulipa ushuru wa kitanda.

 

10 years ago

GPL

RIPOTI YA ESCROW BUNGENI YATEKA WANANCHI

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Eric Shigongo (katikati)  na wafanyakazi wa Global wakiangalia Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe hivi sasa akiwasilisha bungeni maoni ya kamati hiyo kuhusu ripoti ya kuchotwa zaidi ya shilingi bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani