Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ripoti ya ufisadi na uozo IAAF kutolewa

IAAF leo itapokea matokeo ya uchunguzi huru kuhusu madai ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli miongoni na ufisadi mwa wanariadha Urusi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mwakipesile kuanika ‘uozo’ ripoti ya Jumuiya ya Madola

Kocha wa timu ya taifa ya ngumi za ridhaa, Jonas Mwakipesile amesema kukosekana kwa vikinga ulimi, maandalizi duni na elimu ndogo ya makocha ndiyo vitu atakavyoviweka wazi kwa Serikali wakati wa utoaji tathmini ya ushiriki wa Tanzania kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola.

 

10 years ago

Mwananchi

Wenje: Waziri kutolewa kafara ufisadi escrow

>Pamoja na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kueleza kuwa hajakabidhiwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu uchotaji wa Dola 200 milioni katika akaunti ya escrow, Bunge limeelezwa kuwa kuna waziri mmoja ambaye anaandaliwa kisaikolojia kwa ajili ya kutolewa kafara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ripoti ya ufisadi kuwasilishwa bungeni

Kamati ya kudumu ya bunge ya Hesabu za Serikali, inatarajiwa kuwasilisha bungeni leo ripoti ya uchunguzi kuhusu sakata la ufisadi

 

10 years ago

Vijimambo

RIPOTI YA CAG IMEIBUA UFISADI MKUBWA

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad.
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za mitaa,mashirika ya umma na serikali kuu.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa ripoti ya ukaguzi mjini Dodoma jana,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad alisema ukaguzi huo umefanywa katika taasisi 176 za Serikali kuu, halmashauri 163 na mashirika ya umma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mdee atoboa uozo

MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amewataka wakulima, wafugaji kuipiga mawe Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kutenga sh bilioni 50 kwa ajili ya safari za rais huku ikitenga...

 

10 years ago

Habarileo

Uozo mkubwa barabarani

Kamanda wa Usalama barabarani Mohammed MpingaPOLISI wa usalama barabarani, wametwishwa zigo la kuwa chanzo kikubwa cha ajali zilizoshamiri nchini, kutokana na vitendo vyao vya kuendekeza rushwa kutoka kwa madereva wa mabasi ya abiria.

 

10 years ago

Mtanzania

Uozo vyama vya siasa

Jaji Francis Mutungi

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi

Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2012/13, imeibua uozo mkubwa katika hesabu za vyama vya siasa.

Mbali ya uozo huo, CAG pia amebaini baadhi ya vyama havina ofisi badala yake vimepanga hotelini na vingine sehemu za uchochoroni.

Ripoti hiyo inaonyesha Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha Tanzania Labour (TLP), Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

11 years ago

GPL

UOZO MAHOSPITALINI: OFM YAIFUNGIA KAZI PALESTINA!

BADO hali ya huduma zinazotolewa na baadhi ya hospitali zetu nchini ni mbaya, utendaji mbovu na wagonjwa hawajaliwi hata pale inapotokea wamepelekwa wakiwa mahututi, Risasi Jumamosi linakufunulia. Eneo la hospitali ya palestina. Baada ya kuanika uozo wa hospitali kadhaa – za serikali na binafsi, sasa kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ cha Global Publishers, kilitinga katika Hospitali ya Wilaya ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL

Sasa yagundulika aliyeleta mabehewa feki alikuwa na bei ya juu kuliko wote, Aliruhusiwa na kufanyia marekebisho zabuni yake kinyemelaMadudu zaidi yameendelea kuibuka katika sakata la mabehewa feki 274 yaliyonunuliwa na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), na sasa imebainika kuwa kampuni iliyopewa zabuni ya kuleta mabehewa hayo ndiyo iliyokuwa ya bei ya juu zaidi kuliko kampuni 10 zilizokuwa zimeomba na haikuweka dhamana yoyote kama sheria ya manunuzi inavyotaka.

Aidha, imebainika pia kuwa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani