Mwakipesile kuanika ‘uozo’ ripoti ya Jumuiya ya Madola
Kocha wa timu ya taifa ya ngumi za ridhaa, Jonas Mwakipesile amesema kukosekana kwa vikinga ulimi, maandalizi duni na elimu ndogo ya makocha ndiyo vitu atakavyoviweka wazi kwa Serikali wakati wa utoaji tathmini ya ushiriki wa Tanzania kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Ripoti ya ufisadi na uozo IAAF kutolewa
10 years ago
BBCSwahili02 Sep
Michezo ya Jumuiya ya madola kuandaliwa AK
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Kikwete ataka medali Jumuiya ya Madola
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amewataka wachezaji wa michezo mbalimbali wanaokwenda leo kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola, kutambua heshima ya ushiriki wao na nchi pia....
11 years ago
Habarileo20 Jul
Wabunge Jumuiya ya Madola wakutana Arusha
MKUTANO wa 45 wa Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA) unatarajia kufanyika kwa wiki moja kuanza leo jijini hapa, huku masuala ya afya ya mama na mtoto, unyanyasaji wa wanawake na ajira kwa vijana vikiwa ni kipaumbele katika mkutano huo.
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
Michezo ya Jumuiya ya Madola kuanza-Glascow
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Kumekucha mashindano ya Jumuiya ya Madola Glasgow
11 years ago
Mwananchi20 Jul
Mabunge Jumuiya ya Madola kuijadili Afrika
10 years ago
GPLMKUTANO WA JUMUIYA YA MADOLA KUFANYIKA DAR
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Taswa kuandaa mjadala Jumuiya ya Madola
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa), kimeanzisha utaratibu wa kuandaa midahalo mbalimbali ya masuala ya michezo kila Jumatano ya kwanza ya mwezi, ambapo kwa kuanzia wataanza na...