Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete ataka medali Jumuiya ya Madola

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amewataka wachezaji wa michezo mbalimbali wanaokwenda leo kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola, kutambua heshima ya ushiriki wao na nchi pia....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ramadhani aota medali Jumuiya ya Madola

Serengeti. Mshindi wa medali ya dhahabu katika Michezo ya Jumuiya ya Madola ya 2006 kwenye Marathoni (km 42), Samson Ramadhan ameweka wazi nia yake ya kutetea medali yake kwenye michezo ya msimu huu.

 

11 years ago

Michuzi

Wanamichezo waahidi kuleta medali katika mashindano ya Jumuiya ya Madola huko Glasgow, Scotland.

Akizungumza mara baada ya kuwasili nchini jana wakitokea Ethiopia Kocha wa Timu ya Riadha aliyeambatana na wachezaji 8 Bw. Shaban Hiiti alisema kuwa ana imani kubwa na wachezaji wake walioteuliwa katika Timu ya Taifa kuwa watailetea heshima Taifa kwa kuwa mazoezi waliyoyapata wakiwa nchini Ethiopia yamewajengea uwezo mkubwa. Alisema  kuwa walipokuwa nchi Ethiopia kwa mazoezi wamejifunza mbinu mbalimbali kutokana na kuwa na program za kuwajengea uwezo wachezaji wake na wako tayari kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua mkutano wa wakuu wa Utumishi wa Umma wa jumuiya ya madola jijini Dar es Salaam

1.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani Afraik jana (Jumatatu Julai 13, 2015) Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo wa siku 3 unatarajia kufungwa Jumatano Julai 15, 2015. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Celina Kombani na Naibu Katibu Mkuu wa Jumiya hiyo, Bi. Josephine Ojiambo.

2.

Naibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof....

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akabidhi bendera timu ya taifa ya riadha itayoshiriki michuano ya jumuiya ya madola huko Glasgow, Scotland

ta6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi ya kukabidhi bendera iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.(PICHA NA IKULU).

ta1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Medali ya Madola imeachwa Tanzania’

Wakati msafara wa Tanzania ukiwasili kwenye kijiji cha michezo tayari kwa michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Scotland, kocha mkuu wa timu ya taifa ya judo, Zaid Hamis ametoa kali baada ya kueleza kuwa medali ya timu yake imebaki Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Hatuoni maandalizi ya medali michezo ya Madola

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo bendera yake itapepea jijini Glasgow huko Scotland katika ufunguzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola utakaofanyika Julai 23.

 

11 years ago

Mwananchi

Mashujaa wa Tanzania waliotwaa medali 21 Madola

Tanzania imeshashiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola mara 12 na mwaka huu itakuwa ikishiriki kwa mara ya 13, lakini hadi sasa ni wanariadha watano tu ambao wamewahi kuchota medali kwenye mashindano hayo. Michezo ya mwaka huu itafanyika Scotland kuanzia Julai 23.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kusaka medali Madola leo

Tanzania inaanza kusaka medali kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola leo mchana, wakati timu za taifa za mpira wa meza, kuogelea na judo zitakuwa kwenye viwanja tofauti jijini Glasgow, Scotland.

 

11 years ago

Mwananchi

Bila maandalizi tusitegemee medali madola

Bingwa mara mbili wa mbio ndefu kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola, Gidamis Shahanga amedai kuwa bila maandalizi Tanzania isitarajie medali ya muujiza kwenye michezo hiyo msimu huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani