Wanamichezo waahidi kuleta medali katika mashindano ya Jumuiya ya Madola huko Glasgow, Scotland.
![](http://3.bp.blogspot.com/-AqZEobzNKkw/U7Ef-qzej0I/AAAAAAAFtmc/56JERmnRL40/s72-c/unnamed+(18).jpg)
Akizungumza mara baada ya kuwasili nchini jana wakitokea Ethiopia Kocha wa Timu ya Riadha aliyeambatana na wachezaji 8 Bw. Shaban Hiiti alisema kuwa ana imani kubwa na wachezaji wake walioteuliwa katika Timu ya Taifa kuwa watailetea heshima Taifa kwa kuwa mazoezi waliyoyapata wakiwa nchini Ethiopia yamewajengea uwezo mkubwa. Alisema kuwa walipokuwa nchi Ethiopia kwa mazoezi wamejifunza mbinu mbalimbali kutokana na kuwa na program za kuwajengea uwezo wachezaji wake na wako tayari kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog15 Jul
Rais Kikwete akabidhi bendera timu ya taifa ya riadha itayoshiriki michuano ya jumuiya ya madola huko Glasgow, Scotland
Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WYXpvkBiGUY/U8jMRs-BtyI/AAAAAAAF3O0/6ZXyLblFyBk/s72-c/unnamed+(32).jpg)
TIMU YA TANZANIA KATIKA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA YATUA JIJINI GLASGOW, SCOTLAND
![](http://4.bp.blogspot.com/-WYXpvkBiGUY/U8jMRs-BtyI/AAAAAAAF3O0/6ZXyLblFyBk/s1600/unnamed+(32).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-hEegx7oY_3M/U8jMR7Qlf2I/AAAAAAAF3PA/jwMeUAij4R0/s1600/unnamed+(33).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-L8sihgQbiEI/U9A3VOjifwI/AAAAAAAF5VA/W2gMTx3Vda0/s72-c/20140723-232442-84282351.jpg)
Bendera ya Tanzania yameremeta katika sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Jumuiya ya madola Glasgow, Scotland
![](http://3.bp.blogspot.com/-L8sihgQbiEI/U9A3VOjifwI/AAAAAAAF5VA/W2gMTx3Vda0/s1600/20140723-232442-84282351.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-wzK4qKjPzJ0/U9A3VfBx1dI/AAAAAAAF5VE/6MAsEp4_j94/s1600/20140723-232442-84282431.jpg)
11 years ago
Michuzi24 Jul
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-a5dqNNOXk20/U9IZq9D9aeI/AAAAAAAF59g/oemB8J9n2BE/s72-c/20140723-232442-84282351.jpg)
RATIBA YA MABONDIA WA TANZANIA WANAOWAKILISHA TAIFA KATIKA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA SCOTLAND (NDONDI)
![](http://3.bp.blogspot.com/-a5dqNNOXk20/U9IZq9D9aeI/AAAAAAAF59g/oemB8J9n2BE/s1600/20140723-232442-84282351.jpg)
Ratiba hiyo inaonyesha kuwa mashindanoo yataanza tarehe 25/07/14 na yatamalizika tarehe 02/08/14.katika ukumbi wa Secc (Hall 4A) na inaonyesha kuwa captain wa timu ya Tanzania Selemani kidunda ndiye atayeanza...
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Kumekucha mashindano ya Jumuiya ya Madola Glasgow
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BGk4h7ibQAI/U1-5iHWQnYI/AAAAAAAFeA0/yxKrISM1ZYk/s72-c/PIX1.jpg)
Wanamichezo 45 waagwa rasmi kwa ajili ya kwenda nje kufanya maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola
![](http://3.bp.blogspot.com/-BGk4h7ibQAI/U1-5iHWQnYI/AAAAAAAFeA0/yxKrISM1ZYk/s1600/PIX1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-juWxgzWqjC0/U1-5h23Fj0I/AAAAAAAFeAs/UQbP99ROMic/s1600/PIX2.jpg)
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
Wanamichezo waliokuwa China kujiandaa na Mashindano ya Jumuiya ya Madola warejea nchini huku wakiwa na matumaini makubwa
Baadhi ya wanamichezo waliokuwa nchini China kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini Bw. Leonard Thadeo akisukuma mzizigo ya baadhi ya makocha wa China waliombatana na Wanamichezo wa Tanzania waliokuwa China kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa na mashindano ya Olympic yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu mjini Glasgow Scotland,...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tw3I4pGpTrs/U81B9I1IQJI/AAAAAAAF4Zk/gsfvIwWNHE8/s72-c/unnamed+(25).jpg)
Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow
![](http://2.bp.blogspot.com/-tw3I4pGpTrs/U81B9I1IQJI/AAAAAAAF4Zk/gsfvIwWNHE8/s1600/unnamed+(25).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-MsQsA4MGUH4/U81CPq1azgI/AAAAAAAF4Zs/Ez3Ku5uJzjo/s1600/unnamed+(27).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-q9fCvirgHPg/U81CR6aWs3I/AAAAAAAF4Z0/TR6-ys7TT3Y/s1600/unnamed+(26).jpg)