Bendera ya Tanzania yameremeta katika sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Jumuiya ya madola Glasgow, Scotland
![](http://3.bp.blogspot.com/-L8sihgQbiEI/U9A3VOjifwI/AAAAAAAF5VA/W2gMTx3Vda0/s72-c/20140723-232442-84282351.jpg)
Jina la Tanzania linameremeta wakati wanamichezo wetu walipopita katika maandamano ya ufunguzi wa Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye sherehe kabambe za ufunguzi katika Uwanja wa Celtic Park jijini Glasgow, Scotland, uliobeba watazamaji 40,000 huku watu bilioni 1 wakiangalia live sherehe hizo kupitia katika TV zao. Takriban mashabiki 100,000, na wanamichezo 4,000 kutoka katika nchi 71 zitakazoshindana wapo hapo kwa michezo hiyo ambapo hii ni mara ya 20 kufanyika toka ianzishwe.
Sehemu ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-WYXpvkBiGUY/U8jMRs-BtyI/AAAAAAAF3O0/6ZXyLblFyBk/s72-c/unnamed+(32).jpg)
TIMU YA TANZANIA KATIKA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA YATUA JIJINI GLASGOW, SCOTLAND
![](http://4.bp.blogspot.com/-WYXpvkBiGUY/U8jMRs-BtyI/AAAAAAAF3O0/6ZXyLblFyBk/s1600/unnamed+(32).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-hEegx7oY_3M/U8jMR7Qlf2I/AAAAAAAF3PA/jwMeUAij4R0/s1600/unnamed+(33).jpg)
11 years ago
Dewji Blog15 Jul
Rais Kikwete akabidhi bendera timu ya taifa ya riadha itayoshiriki michuano ya jumuiya ya madola huko Glasgow, Scotland
Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tw3I4pGpTrs/U81B9I1IQJI/AAAAAAAF4Zk/gsfvIwWNHE8/s72-c/unnamed+(25).jpg)
Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow
![](http://2.bp.blogspot.com/-tw3I4pGpTrs/U81B9I1IQJI/AAAAAAAF4Zk/gsfvIwWNHE8/s1600/unnamed+(25).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-MsQsA4MGUH4/U81CPq1azgI/AAAAAAAF4Zs/Ez3Ku5uJzjo/s1600/unnamed+(27).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-q9fCvirgHPg/U81CR6aWs3I/AAAAAAAF4Z0/TR6-ys7TT3Y/s1600/unnamed+(26).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-AqZEobzNKkw/U7Ef-qzej0I/AAAAAAAFtmc/56JERmnRL40/s72-c/unnamed+(18).jpg)
Wanamichezo waahidi kuleta medali katika mashindano ya Jumuiya ya Madola huko Glasgow, Scotland.
11 years ago
Michuzi24 Jul
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-a5dqNNOXk20/U9IZq9D9aeI/AAAAAAAF59g/oemB8J9n2BE/s72-c/20140723-232442-84282351.jpg)
RATIBA YA MABONDIA WA TANZANIA WANAOWAKILISHA TAIFA KATIKA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA SCOTLAND (NDONDI)
![](http://3.bp.blogspot.com/-a5dqNNOXk20/U9IZq9D9aeI/AAAAAAAF59g/oemB8J9n2BE/s1600/20140723-232442-84282351.jpg)
Ratiba hiyo inaonyesha kuwa mashindanoo yataanza tarehe 25/07/14 na yatamalizika tarehe 02/08/14.katika ukumbi wa Secc (Hall 4A) na inaonyesha kuwa captain wa timu ya Tanzania Selemani kidunda ndiye atayeanza...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CmF120L7dSQ/U8zjoFd81yI/AAAAAAAF4Us/H5gePgEsZVk/s72-c/unnamed+(35).jpg)
MH. NKAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MICHEZO WA JUMUIYA YA MADOLA NCHINI SCOTLAND
![](http://4.bp.blogspot.com/-CmF120L7dSQ/U8zjoFd81yI/AAAAAAAF4Us/H5gePgEsZVk/s1600/unnamed+(35).jpg)
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Kumekucha mashindano ya Jumuiya ya Madola Glasgow
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Glasgow kabla ya michezo ya madola