Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanamichezo waliokuwa China kujiandaa na Mashindano ya Jumuiya ya Madola warejea nchini huku wakiwa na matumaini makubwa

MC1a

Baadhi ya wanamichezo waliokuwa nchini China kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius  Nyerere jana jijini Dar es Salaam.

MC1b

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini Bw. Leonard Thadeo akisukuma mzizigo ya baadhi ya makocha wa China waliombatana na Wanamichezo wa Tanzania waliokuwa China kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa na mashindano ya Olympic yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu mjini Glasgow Scotland,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wanamichezo waahidi kuleta medali katika mashindano ya Jumuiya ya Madola huko Glasgow, Scotland.

Akizungumza mara baada ya kuwasili nchini jana wakitokea Ethiopia Kocha wa Timu ya Riadha aliyeambatana na wachezaji 8 Bw. Shaban Hiiti alisema kuwa ana imani kubwa na wachezaji wake walioteuliwa katika Timu ya Taifa kuwa watailetea heshima Taifa kwa kuwa mazoezi waliyoyapata wakiwa nchini Ethiopia yamewajengea uwezo mkubwa. Alisema  kuwa walipokuwa nchi Ethiopia kwa mazoezi wamejifunza mbinu mbalimbali kutokana na kuwa na program za kuwajengea uwezo wachezaji wake na wako tayari kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Wanamichezo 45 waagwa rasmi kwa ajili ya kwenda nje kufanya maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola

Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akizungumza na wanamichezo wanaoenda kuweka kambi katika nchi za New Zealand, Ethiopia, China na Uturuki ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola mapema mwezi julai. Kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leornard Thadeo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Leornard Thadeo akifafanua...

 

11 years ago

Michuzi

Wanamichezo wa Tanzania warejea huku wakiijengea nchi heshima ya kuwa na nidhamu

Mwakilishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko (kushoto) akisalimiana na baadhi ya Wanamichezo waliokuwa kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola mjini Glasgow Scotland mara walipowasilia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Juliana Yassoda akiwaelekeza jambo baadhi ya...

 

11 years ago

GPL

MO FARAH AJITOA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA

Mo Farah amejiondoa katika michuano hiyo kwa kutokuwa fiti. MWANARIADHA wa Uingereza, Mo Farah, amejitoa katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyoanza jana mjini Glasgow, Scotland kutokana na kusumbuliwa na maradhi. Mjamaica Usain Bolt yeye atashiriki michuano hiyo. Mo amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa wiki za karibuni ila ataendelea kujifua kwa ajili ya michuano mingine ijayo.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Kumekucha mashindano ya Jumuiya ya Madola Glasgow

>Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo mjini Glasgow, Scotland, ikiwa ni michuano ya 20 tangu kuanzishwa kwake.

 

5 years ago

CCM Blog

WATANZANIA 57 WALIOKUWA WAMEKWANA AFRIKA KUSINI KUTOKANA NA CORONA WAREJEA NCHINI


Mmoja wa Watanzania waliokuwa wamekwama Afrika Kusini kutokana na nchi hiyo kufunga mipaka yake kutokana na Corona, Sunderland the only one akizungumza muda mfupi kabla ya kuondoka nchini humo, leo. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini humo Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi AFRIKA KUSINIWatanzania 57 waliokuwa wamekwama nchini Afrika Kusini kutokana na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19 baada ya nchi hiyo kufunga mipaka yake hatimae wamerejea...

 

11 years ago

Michuzi

RATIBA YA MABONDIA WA TANZANIA WANAOWAKILISHA TAIFA KATIKA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA SCOTLAND (NDONDI)

Hatimaye ratiba ya mchezo wa ngumi kwa mashindano ya Jumuiya ya Madola imetolewa leo tarehe 24/07/14 baada ya zoezi la kupima uzito na afya lililofanyika kuanzia saa 2.00 hadi saa 4.00 Asubuhi kwa saa za Scotland, kwa mabondia na waamuzi wote wanaotegemea kushiriki mashindano hayo`1.
Ratiba hiyo inaonyesha kuwa mashindanoo yataanza  tarehe 25/07/14 na yatamalizika tarehe 02/08/14.katika ukumbi wa Secc (Hall 4A) na inaonyesha kuwa captain wa timu ya Tanzania Selemani kidunda ndiye atayeanza...

 

11 years ago

Michuzi

WANARIADHA WA MBIO NDEFU WAWASILI ADDIS ABABA KWA AJILI YA MAZOEZI YA KUJIAANDAA NA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA

Mhe. Naimi Aziz, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia ( wa nne kutoka kulia) akiwa na baadhi ya wanariadha wa Mbio ndefu kutoka Tanzania waliowasili jijini Addis Ababa siku ya Alhamisi tarehe 1/5/2014, kwa ajili ya kufanya mazoezi ya nguvu ya kujiandaa na Mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika nchini Scotland mwezi wa Saba mwaka huu. Wizara ya Michezo ya Ethiopia imeamua kutoa makocha watatu ambao watasaidiana na kocha Shabaan Bayu katika kukinoa kikosi hicho. Aidha, mwanariadha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani