Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashujaa wa Tanzania waliotwaa medali 21 Madola

Tanzania imeshashiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola mara 12 na mwaka huu itakuwa ikishiriki kwa mara ya 13, lakini hadi sasa ni wanariadha watano tu ambao wamewahi kuchota medali kwenye mashindano hayo. Michezo ya mwaka huu itafanyika Scotland kuanzia Julai 23.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Medali ya Madola imeachwa Tanzania’

Wakati msafara wa Tanzania ukiwasili kwenye kijiji cha michezo tayari kwa michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Scotland, kocha mkuu wa timu ya taifa ya judo, Zaid Hamis ametoa kali baada ya kueleza kuwa medali ya timu yake imebaki Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kusaka medali Madola leo

Tanzania inaanza kusaka medali kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola leo mchana, wakati timu za taifa za mpira wa meza, kuogelea na judo zitakuwa kwenye viwanja tofauti jijini Glasgow, Scotland.

 

11 years ago

Mwananchi

Ramadhani aota medali Jumuiya ya Madola

Serengeti. Mshindi wa medali ya dhahabu katika Michezo ya Jumuiya ya Madola ya 2006 kwenye Marathoni (km 42), Samson Ramadhan ameweka wazi nia yake ya kutetea medali yake kwenye michezo ya msimu huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Hatuoni maandalizi ya medali michezo ya Madola

Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo bendera yake itapepea jijini Glasgow huko Scotland katika ufunguzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola utakaofanyika Julai 23.

 

11 years ago

Mwananchi

Bila maandalizi tusitegemee medali madola

Bingwa mara mbili wa mbio ndefu kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola, Gidamis Shahanga amedai kuwa bila maandalizi Tanzania isitarajie medali ya muujiza kwenye michezo hiyo msimu huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kikwete ataka medali Jumuiya ya Madola

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amewataka wachezaji wa michezo mbalimbali wanaokwenda leo kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola, kutambua heshima ya ushiriki wao na nchi pia....

 

11 years ago

Mwananchi

Matumaini ya medali Madola kwa Watanzania yazidi kupeperuka

Pigo kwa Tanzania! Ndivyo ilivyokuwa jana kwenye kambi ya wanamichezo wa Tanzania nchini Scotland baada ya mwanariadha mzoefu, Fabiano Joseph kushindwa kung’ara kwenye mbio za marathon za Michezo ya Jumuiya ya Madola.

 

11 years ago

Michuzi

Wanamichezo waahidi kuleta medali katika mashindano ya Jumuiya ya Madola huko Glasgow, Scotland.

Akizungumza mara baada ya kuwasili nchini jana wakitokea Ethiopia Kocha wa Timu ya Riadha aliyeambatana na wachezaji 8 Bw. Shaban Hiiti alisema kuwa ana imani kubwa na wachezaji wake walioteuliwa katika Timu ya Taifa kuwa watailetea heshima Taifa kwa kuwa mazoezi waliyoyapata wakiwa nchini Ethiopia yamewajengea uwezo mkubwa. Alisema  kuwa walipokuwa nchi Ethiopia kwa mazoezi wamejifunza mbinu mbalimbali kutokana na kuwa na program za kuwajengea uwezo wachezaji wake na wako tayari kwa...

 

11 years ago

GPL

U15 TANZANIA YATUA MEDALI VIFUANI

Timu ya Tanzania ya wachezaji wenye umri chini ya miaka 15 ikiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) ikitokea Gaborone kupitia Nairobi. (PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL)
Timu ya Tanzania ya wachezaji wenye umri chini ya miaka 15 iliyoshika nafasi ya pili katika Michezo ya Afrika kwa Vijana (AYG) iliyofanyika Gaborone, Botswana imewasili leo (Juni 2 mwaka huu) jijini Dar es Salaam. U15 ambayo imeshinda mechi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani