Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michezo ya Jumuiya ya madola kuandaliwa AK

Mji wa Durban nchini Afrika Kusini utakuwa mji wa kwanza barani Afrika kuandaa mashindano ya Jumuiya ya Madola mwaka wa 2022

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow

Waogeleaji wa Tanzania Mariam Foum, Hilal Hemed na Ammaar Ghadiyali wakiwa tayari kwa michuano jijini Glasgow. Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo kayika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Michezo ya Jumuiya ya Madola kuanza-Glascow

Mashindano ya Jumuiya ya Madola kufunguliwa rasmi hii leo mjini Glascow, Scotland na Malkia wa Uingereza

 

11 years ago

Mwananchi

Bingwa wa Michezo ya Jumuiya ya Madola anayeosha magari

Maisha yangu yalianza kuwa magumu baada ya kutolewa amri nifukuzwe kazi ndani ya saa 24,” ndivyo anaanza kusimulia kwa huzuni bingwa wa uzani wa bantam na bondia pekee aliyewahi kuiletea Tanzania medali ya dhahabu ya Michezo ya Jumuiya ya Madola, Michael Yombayomba ‘Golden Boy’ .

 

11 years ago

Michuzi

MH. NKAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MICHEZO WA JUMUIYA YA MADOLA NCHINI SCOTLAND

Naibu Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Mhe. Juma Nkamia (wa pili kushoto mstari wa mbele) akiongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Jumuiya ya Madola leo jijini Glasgow, Uskochi (Scotland). Mkutano huo unafanyika kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya Jumuiya hiyo, utakaofanyika keshokutwa haoa Glasgow. Agenda kuu ya Mkutano huo ni Michhezo kwa Maendeleo na Amani.

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA TANZANIA KATIKA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA YATUA JIJINI GLASGOW, SCOTLAND

 Timu ya Tanzania kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola imewasili katika  uwanja wa ndege wa Kimataifa Glasgow, Scotland jana usiku wa kuamkia leo kwa ndege ya Shirika la ndege la Falme za Kiarabu (Emirates).

 Jumla ya wanamichezo 42 waliwasili Uwanjani hapo na kupokelewa  na Afisa Ubalozi wa Tanzania London Bw. Amos Msanjila. Pamoja na mapokezi na shamrashamra za wenyeji, baadhi ya Watanzania waishio Glasgow walikuwepo Uwanjani hapo wakipeperusha bendera za Tanzania kuwahamasisha wanamichezo...

 

11 years ago

Michuzi

Bendera ya Tanzania yameremeta katika sherehe za ufunguzi wa Michezo ya Jumuiya ya madola Glasgow, Scotland

 Jina la Tanzania linameremeta wakati wanamichezo wetu walipopita katika maandamano ya ufunguzi wa Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye sherehe kabambe za ufunguzi katika Uwanja wa Celtic Park jijini Glasgow, Scotland, uliobeba watazamaji 40,000 huku watu bilioni 1 wakiangalia live sherehe hizo kupitia katika TV zao. Takriban  mashabiki 100,000, na wanamichezo 4,000 kutoka katika nchi 71 zitakazoshindana wapo hapo kwa michezo hiyo ambapo hii ni mara ya 20 kufanyika toka ianzishwe. Sehemu ya...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA JUMUIYA YA MADOLA KUFANYIKA DAR

Ofisa Habari wa Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, Florence Temba (kushoto), Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, HAB Mkwizu, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma, Roxana Kijazi pamoja na meneja mafunzo wa wakala wa utumishi kwa njia ya mtandao, Dickson Mwanyika (kulia). Kaimu Katibu Mkuu wa Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu akizungumza jambo katika… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Mabunge Jumuiya ya Madola kuijadili Afrika

Mabunge ya nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika yanakutana Arusha kuanzia leo kujadili utekelezaji wa misingi mikuu ya Jumuiya hiyo ambayo ni utawala bora, demokrasia na haki za binadamu.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge Jumuiya ya Madola wakutana Arusha

Spika wa Bunge la Tanzania ambaye ni Rais wa Umoja wa CPA Kanda ya Afrika, Anne Makinda.MKUTANO wa 45 wa Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA) unatarajia kufanyika kwa wiki moja kuanza leo jijini hapa, huku masuala ya afya ya mama na mtoto, unyanyasaji wa wanawake na ajira kwa vijana vikiwa ni kipaumbele katika mkutano huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani