Mdee atoboa uozo
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amewataka wakulima, wafugaji kuipiga mawe Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kutenga sh bilioni 50 kwa ajili ya safari za rais huku ikitenga...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Sep
Uozo mkubwa barabarani
POLISI wa usalama barabarani, wametwishwa zigo la kuwa chanzo kikubwa cha ajali zilizoshamiri nchini, kutokana na vitendo vyao vya kuendekeza rushwa kutoka kwa madereva wa mabasi ya abiria.
10 years ago
Mtanzania29 Oct
Uozo vyama vya siasa
![Jaji Francis Mutungi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jaji-Francis-Mutungi.jpg)
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi
Na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2012/13, imeibua uozo mkubwa katika hesabu za vyama vya siasa.
Mbali ya uozo huo, CAG pia amebaini baadhi ya vyama havina ofisi badala yake vimepanga hotelini na vingine sehemu za uchochoroni.
Ripoti hiyo inaonyesha Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha Tanzania Labour (TLP), Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Ripoti ya ufisadi na uozo IAAF kutolewa
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Mwakipesile kuanika ‘uozo’ ripoti ya Jumuiya ya Madola
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mza-*42r4qgC4cn23QTmfwxMoat-LLmCpCihTC9YInsfYyBQ6tDT-wKl76SiBIalxlg*OTnTR5aw35JkBPq70bvNUA5xrw3T/uozo.jpg?width=650)
UOZO MAHOSPITALINI: OFM YAIFUNGIA KAZI PALESTINA!
9 years ago
Global Publishers22 Dec
Kwa nini Magufuli aone uozo wengine wasiuone?
Tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama leo.
Nianze kwa kusema uamuzi wa Rais Dk. John Pombe Joseph Magufuli kueleza kwa kina namna nchi ‘inavyoliwa’ kwa kueleza safari holela za nje ya nchi zinavyoligharimu taifa mabilioni ya fedha na jinsi uhujumu unavyofanywa bandarini, kumezua mjadala mkubwa miongoni mwa baadhi ya wafuatiliaji wa masuala ya siasa nchini.
Ujasiri wa Rais Magufuli kueleza bila kificho jinsi safari za nje zinavyogharimu taifa na jinsi wizi wa kuibia nchi kupitia kodi...
9 years ago
StarTV30 Dec
Uozo Zaidi Bandarini  Saba matatani kwa upotevu wa mapato ya Sh. Bil. 47.4
Jeshi la Polisi nchini linawashikilia watumishi saba kati ya 15 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania baada ya kubainika kuhusika na upotevu wa mapato ya Shilingi Bilioni 47.4 kutokana na Makontena 11,884 kutolewa bandarini bila malipo.
Pia magari 2,019 yanadaiwa kutolewa bandarini kinyemela na kusababisha upotevu wa mapato wa zaidi ya Shilingi Bilioni moja.
Mbali na makontena hayo ikumbukwe kuwa Desemba 7, mwaka huu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alibaini makontena mengine 2,431...
11 years ago
Mwananchi07 May
Utafiti Twaweza waanika uozo katika vituo vya afya nchini
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Kwa uozo huu TRA na TPA, mahakama ya mafisadi ije fasta!
ZIARA za kushtukiza za Rais John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika taasisi mbili tu za TRA na TPA zimewaonesha Watanzania jinsi ambavyo baadhi ya watumishi wa serikali wanavyotumia ofisi za umma kujiingizia vipato vya mabilioni ya shilingi kwa njia haramu.
Kama mtu mmoja ameweza kukutwa akimiliki nyumba zaidi ya sabini ni wazi kuwa wapo maelfu ya watumishi hao wenye majumba kibao, miradi, kampuni na shughuli nyingine nyingi za kiuchumi zinazotokana na mapato ambayo...