Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UOZO MAHOSPITALINI: OFM YAIFUNGIA KAZI PALESTINA!

BADO hali ya huduma zinazotolewa na baadhi ya hospitali zetu nchini ni mbaya, utendaji mbovu na wagonjwa hawajaliwi hata pale inapotokea wamepelekwa wakiwa mahututi, Risasi Jumamosi linakufunulia. Eneo la hospitali ya palestina. Baada ya kuanika uozo wa hospitali kadhaa – za serikali na binafsi, sasa kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ cha Global Publishers, kilitinga katika Hospitali ya Wilaya ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Azam yaifungia kazi Simba, Hall kicheko

azam-1NA MWANDISHI WETU

TIMU ya Azam imewafungia kazi wapinzani wao Simba kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) Jumamosi hii baada ya kupanga programu kali kwa wachezaji wake.

Azam FC ilianzia maandalizi yake ya nguvu mkoani Tanga kwa kambi ya siku tano na kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Mgambo JKT na African Sports, zote zikiisha kwa sare ya bao 1-1 kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam jana.

Katika kujiandaa zaidi na mchezo huo muhimu dhidi ya Simba, leo saa...

 

11 years ago

GPL

OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI JINSI ALIVYOMNASA MZUNGU AKIWA NA DENTI

Mshuhudie Kamanda hatari wa OFM aliyepania kuibadilisha Tanzania, akiripoti tukio la aina yake ambapo mara hii amemnasa mzungu aliyekuwa na denti wa kidato cha tatu gesti, tena usiku wa manane! Ungana na Global TV Online kupata full stori!

 

10 years ago

Vijimambo

DC MAKONDA AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MWANANYAMALA NA PALESTINA KUANGALIA UTENDAJI KAZI

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina, Dkt. Benedicto Luoga iliyopo Sinza jijini Dar es Salaama mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi. Pembeni ni Katibu Tawala wa Manispaa ya Kinondoni.Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina, Dkt. Benedicto Luoga akitoa maelezo machache.Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akipewa maelekezo kutoka kwa mtaalamu wa maabara Dokta Mniko Kimori.Mkuu wa wilaya ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

UN wakishirikiana na Ubalozi wa Palestina wafanya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya mshikamano na watu wa Palestina

 Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Abdallah Kilima (katikati), Kaimu Balozi wa Palestine Derar Ghannam (kulia) pamoja na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohammed Ali wakikata utepe kwa ajili ya maonesho ya picha za matukio mbalimbali yanayoendelea nchini Palestina hiyo  ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na watu wa Palestina yaliyofanyika katika Chuo cha Diplomasia, Kurasini...

 

10 years ago

Vijimambo

NSSF YAWANUFAISHA YATIMA NA WAHUDUMU WA WAGONJWA MAHOSPITALINI


Mhasibu Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdulkarim Kisuguru akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi misaada ya vyakula pamoja na vifaa vya shule katika Kituo cha Kulelea Watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu cha, Darul-Arqam cha Tandika jijini Dar es salaam.Mkurugenzi wa Kituo cha Kulelea Watoto wanaoishi katika Mazingira cha Darul-Arqam cha Tandika jijini Dar es salaam akizungumza wakati hafla ya kupokea misaada kutoka NSSF.
Baadhi ya watoto wanaolelea katika...

 

11 years ago

Mtanzania

Serikali yaifungia Hospitali ya IMTU

Baadhi ya viungo vya miili vilivyokutwa

Baadhi ya viungo vya miili vilivyokutwa

Oliver Oswald na Adam Malinda, Dar es Salaam

SERIKALI imeifungia Hospitali ya Chuo Kikuu cha Tiba na Teknolojia (IMTU) kilichopo Mbezi eneo la Interchiki kwa muda usiofahamika.

Hospitali hiyo imefungiwa kutokana na kukosa sifa, ambapo imebainika kuwa maabara pamoja na wauguzi wake hawana vigezo vya kutoa huduma za kitabibu.

Hatua ya kuifungia hospitali hiyo imekuja siku chache tangu chuo hicho kilipokumbwa na tuhuma nzito za kuhusika na utupaji wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Basata yaifungia Miss Utalii

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limefungia mashindano ya Miss Utalii Tanzania kwa muda usiojulikana kuanzia Oktoba 10, 2013.

 

10 years ago

Michuzi

Mabalozi mbalimbali wakisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein

 Balozi wa Sudan nchini, Dr Yassir Mohamed Ali akijiandaa kusaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein, aliyefariki Jumatano wiki hiiBalozi wa Iran nchini, Mehd Aghajafari akisaini kitabu cha maombolezo ofisi za ubalozi wa Palestina Tanzania eneo la upanga Dar es Salaam leo, kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais nchini Palestina, Ziad Abu Ein,...

 

11 years ago

Michuzi

wilaya ya hai mkoani kilimanjaro yajipanga kuondoa kero za wananchi mahospitalini

Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Novatus Makunga ameeleza kuwa serikali wilayani humo imejipanga kuondoa kero zote zinazoawakabili wananchi wanapoenda kutibiwa katika hospitali ya serikali ya wilaya hiyo zikiwemo lugha chafu za watumishi wa hospitali hiyo Mhe.  Makunga ametoa kauli hiyo katika mikutano yake ya hadhara na wananchi wa mitaa ya Kingereka na Kibaoni katika kata ya Hai Mjini.  Awali wananchi wa mitaa hiyo walieleza kuwa kero kubwa wanayokumbana nazo katika hospitali hiyo ni pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani