Basata yaifungia Miss Utalii
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limefungia mashindano ya Miss Utalii Tanzania kwa muda usiojulikana kuanzia Oktoba 10, 2013.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
BASATA yafungia mashindano ya Miss Utalii
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA), limefungia Shindano la Miss Utalii Tanzania kwa muda usiojulikana kuanzia Oktoba 10 mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Mtendaji wa...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Basata yajenga hoja Miss Tanzania
9 years ago
Habarileo18 Aug
Basata yaitoa kifungoni Miss Tanzania
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limelifungulia shindano la urembo la Miss Tanzania baada ya kuridhishwa na mabadiliko kutoka kwa mratibu wake Kampuni ya LINO International Agency Limited.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8D4-dR0q4WU/VdGqcvBGg_I/AAAAAAAHxvM/MR0aw0-s-Us/s72-c/download.jpeg)
BASATA YALIFUNGULIA SHINDANO LA MISS TANZANIA
![](file:///C:/Users/user/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image003.gif)
![](http://1.bp.blogspot.com/-8D4-dR0q4WU/VdGqcvBGg_I/AAAAAAAHxvM/MR0aw0-s-Us/s640/download.jpeg)
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelifungulia shindano la urembo la Miss Tanzania baada ya mwandaaji wake Kampuni ya LINO International Agency Limited kufuata taratibu, kuomba radhi na kuyafanyia kazi baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza na kutekeleza masharti aliyopewa.
Itakumbukwa kuwa mnano tarehe 22/12/2014 BASATA liliwaandikia barua LINO International Agency Limited ya kulisimamisha shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili (Mwaka 2015 na 2016)...
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Hatma ya Miss Tanzania mikononi mwa Basata
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Basata yalitoa kifungoni shindano la Miss Tanzania
9 years ago
MichuziBASATA YAIPONGEZA KAMATI YA MISS UNIVERSE TANZANIA
Kauli hiyo imetolewa na Mratibu wa mashindano ya Miss Universe Fausta Magoti wakati wa kufanya tathimini ya mashindano ya mwaka jana ambapo, Caroline Benard aliibuka mshindi.
Magoti alisema kuwa pamoja na kampuni ya Compass kuanza kushiriki katika mashindano ya Miss Universe mwaka 2007, waliweza kufanya vyema na kuitangaza Tanzania nje ya mipaka...
9 years ago
Mtanzania18 Aug
Basata yaipa kibali cha muda Miss Tanzania
JULIET MORI NA LETICIA BWIRE (TUDARCO)
MASHINDANO ya urembo ya Miss Tanzania yaliyofungiwa kwa muda wa miaka miwili yamepata ahueni baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kuipa kibali cha muda kampuni inayoendesha shindano hilo, International Agency Limited (LINO).
Basata imetoa kibali hicho cha muda kisichozidi miezi minne kwa ajili ya maandalizi ya awali, ikiwemo kukamilisha usajili wa mawakala katika ngazi zote husika ili kuboresha na kurudisha heshima ya shindano la Miss...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eTodht7kopU/XliY8ts1x3I/AAAAAAALfxg/nYr0_OPoOhwkH8YqYERRmT8TIgC-kqElQCLcBGAsYHQ/s72-c/4fa9d1d1-f6bb-4ef3-b061-e911ca3b1bcb.jpg)
MWANADIPLOMASIA ASHINDA TAJI LA MISS UTALII PWANI 2020
![](https://1.bp.blogspot.com/-eTodht7kopU/XliY8ts1x3I/AAAAAAALfxg/nYr0_OPoOhwkH8YqYERRmT8TIgC-kqElQCLcBGAsYHQ/s640/4fa9d1d1-f6bb-4ef3-b061-e911ca3b1bcb.jpg)