Basata yalitoa kifungoni shindano la Miss Tanzania
Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limemfungulia mwandaaji wa shindano la urembo la Miss Tanzania, Lino International Agency baada ya kuomba radhi na kufanyia kazi baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza na kutekeleza masharti aliyopewa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Aug
Basata yaitoa kifungoni Miss Tanzania
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limelifungulia shindano la urembo la Miss Tanzania baada ya kuridhishwa na mabadiliko kutoka kwa mratibu wake Kampuni ya LINO International Agency Limited.
10 years ago
Michuzi
BASATA YALIFUNGULIA SHINDANO LA MISS TANZANIA


Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelifungulia shindano la urembo la Miss Tanzania baada ya mwandaaji wake Kampuni ya LINO International Agency Limited kufuata taratibu, kuomba radhi na kuyafanyia kazi baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza na kutekeleza masharti aliyopewa.
Itakumbukwa kuwa mnano tarehe 22/12/2014 BASATA liliwaandikia barua LINO International Agency Limited ya kulisimamisha shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili (Mwaka 2015 na 2016)...
10 years ago
Michuzi
KUSIMAMISHWA KWA SHINDANO LA UREMBO LA MISS TANZANIA KWA MISIMU MIWILI KUKO PALEPALE - BASATA

Taarifa hizo za kufunguliwa shindano hilo zilienda mbali kwa kueleza kwamba mawakala wametumiwa kalenda ya mashindano...
10 years ago
Vijimambo
BASATA - KUSIMAMISHWA KWA SHINDANO LA UREMBO LA MISS TANZANIA KWA MISIMU MIWILI KUKO PALEPALE

Taarifa hizo za kufunguliwa shindano hilo zilienda mbali kwa kueleza kwamba mawakala wametumiwa kalenda ya mashindano...
10 years ago
Vijimambo25 Nov
MPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014

Voting will be open for the next 25 days, closing during the final show.Download the App Here –http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/For more info on the vote Click here...
10 years ago
Michuzi
WATANZANIA TUMPE SUPPORT MISS TANZANIA HAPPINESS WATIMANYWA KWENYE SHINDANO LA MISS WORLD 2014â€â€Ž

10 years ago
Dewji Blog26 Nov
VIDEO: Watanzania tumpe support Miss Tanzania Happiness Watimanywa kwenye shindano la Miss World 2014â€â€Ž
Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014.
Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
“Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Basata yajenga hoja Miss Tanzania
10 years ago
MichuziBASATA YAIPONGEZA KAMATI YA MISS UNIVERSE TANZANIA
Kauli hiyo imetolewa na Mratibu wa mashindano ya Miss Universe Fausta Magoti wakati wa kufanya tathimini ya mashindano ya mwaka jana ambapo, Caroline Benard aliibuka mshindi.
Magoti alisema kuwa pamoja na kampuni ya Compass kuanza kushiriki katika mashindano ya Miss Universe mwaka 2007, waliweza kufanya vyema na kuitangaza Tanzania nje ya mipaka...