Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatma ya Miss Tanzania mikononi mwa Basata

Hatma iwapo mashindano ya Miss Tanzania yataendelea au yatasitishwa kwa muda, itategemea majibu ya tathmini iliyofanyika mwishoni mwa wiki jana yanayotarajiwa kutolewa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) wiki chache zijazo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Hatma ya CCM ipo mikononi mwa vijana

-Shirikisho lina Wajumbe 683

-Wanachama 31,000

-Vijana wafurahi kupiga picha pamoja na Nape

 Wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini wakifurahi kupiga picha na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.

 Kila mwanafunzi alipenda apate ukumbushokwa kupiga picha na na Katibu wa NEC Npe Nnauye.

 Wajumbe kutoka mikoa mbali mbali wakiimba na kucheza nyimbo za hamasa.

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza meza kuu kuimba wakati wa kufungua kwa mkutano wa Shirikisho la...

 

10 years ago

Mwananchi

Basata: Kashfa ya Sitti mikononi mwa RITA

Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo kupitia Baraza la Sanaa la Taifa(Basata), imetoa tamko kuhusu kashfa ya kugushi cheti kwa aliyekuwa Miss Tanzania Sitti Mtemvu, ikieleza kuwa kwa sasa suala hilo lipo chini ya Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita).

 

9 years ago

Vijimambo

SILAHA ZA MAANGAMIZI ZISIISHIE MIKONONI MWA MAKUNDI YA KIHALIFU —TANZANIA

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzani katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, akichangia majadiliano kuhusu upokonyaji wa silaha na usalama wa kimataifa mwishoni mwa wiki, ambapo ametoa wito wa jumuiya ya kimataifa kushirikiana katika kuhakikisha kuwa silaha za maangamizi haziishii mikononi mwa makundi ya kihalifu.
Tanzania imetoa wito Kwa Jumuiya ya Kimataifa wa kuhakikisha inashirikiana kuhakikisha kwamba silaha za maangamizi zikiwamo za nyukilia haziiangukii mikono ya ...

 

10 years ago

Mwananchi

Basata yajenga hoja Miss Tanzania

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limetoa sababu tisa za kuyafungia mashindano ya Miss Tanzania kwa miaka miwili, ikiwamo Lino International Agency kuwasilisha hundi feki kwa baraza hilo.

 

9 years ago

Habarileo

Basata yaitoa kifungoni Miss Tanzania

BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limelifungulia shindano la urembo la Miss Tanzania baada ya kuridhishwa na mabadiliko kutoka kwa mratibu wake Kampuni ya LINO International Agency Limited.

 

9 years ago

Michuzi

BASATA YALIFUNGULIA SHINDANO LA MISS TANZANIA

                                          

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelifungulia shindano la urembo la Miss Tanzania baada ya mwandaaji wake Kampuni ya LINO International Agency Limited kufuata taratibu, kuomba radhi na kuyafanyia kazi baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza na kutekeleza masharti aliyopewa.
Itakumbukwa kuwa mnano tarehe 22/12/2014 BASATA liliwaandikia barua LINO International Agency Limited ya kulisimamisha shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili (Mwaka 2015 na 2016)...

 

9 years ago

Michuzi

BASATA YAIPONGEZA KAMATI YA MISS UNIVERSE TANZANIA


BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limeipongeza kampuni ya Compass Communications Tanzania kwa kufanya mashindano bora ya Miss Universe hapa nchini.
Kauli hiyo imetolewa na  Mratibu wa mashindano ya Miss Universe Fausta Magoti wakati wa kufanya tathimini ya mashindano ya mwaka jana ambapo, Caroline Benard aliibuka mshindi.
Magoti alisema kuwa pamoja na kampuni ya Compass kuanza kushiriki katika mashindano ya Miss Universe mwaka 2007, waliweza kufanya vyema na kuitangaza Tanzania nje ya mipaka...

 

9 years ago

Mwananchi

Basata yalitoa kifungoni shindano la Miss Tanzania

Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limemfungulia mwandaaji wa shindano la urembo la Miss Tanzania, Lino International Agency baada ya kuomba radhi na kufanyia kazi baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza na kutekeleza masharti aliyopewa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani