Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL
Sasa yagundulika aliyeleta mabehewa feki alikuwa na bei ya juu kuliko wote, Aliruhusiwa na kufanyia marekebisho zabuni yake kinyemelaMadudu zaidi yameendelea kuibuka katika sakata la mabehewa feki 274 yaliyonunuliwa na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), na sasa imebainika kuwa kampuni iliyopewa zabuni ya kuleta mabehewa hayo ndiyo iliyokuwa ya bei ya juu zaidi kuliko kampuni 10 zilizokuwa zimeomba na haikuweka dhamana yoyote kama sheria ya manunuzi inavyotaka.
Aidha, imebainika pia kuwa ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo22 Oct
Ufisadi wa kutisha
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Benja%20-Majura-0ctober22-2014.jpg)
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), inayoishia Juni 30, mwaka 2013, imeanika matumizi mabaya ya fedha za umma.
Ripoti hiyo imehusisha mashirika mengi ya umma yakiwamo Shirika la Umeme nchini (Tanesco), Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta), Bodi ya Korosho, Mamlaka ya...
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Ufisadi: Hawajakoma
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Ufisadi wa makontena
9 years ago
Habarileo18 Dec
Ufisadi bil.5.7/- wazuiwa
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (pichani) ameamuru kusitishwa mara moja malipo yanayofanywa kwa makandarasi waliojenga barabara tano za ndani ya wilaya hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Ufisadi mbio za Mwenge
PAMOJA na Serikali kupitia kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kusisitiza kuwa michango kwa ajili ya mbio za Mwenge wa Uhuru ni hiari na watu wasichangishwe kwa lazima, Tanzania Daima imebaini...
9 years ago
Mtanzania10 Dec
JK: Sihusiki na ufisadi TRA
*Asema hajawahi kuagiza mfanyabiashara yeyote asamehewe kulipa kodi
*Aikingia kifua familia yake, awashukia wanaomtuhumu
NA FREDY AZZAH, DAR ES SALAAM
RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amevunja ukimya na kusema hausiki yeye wala familia yake katika ukwepaji kodi kwa kutorosha makontena bandarini.
Pamoja na hali hiyo, amesema kuwa hajawahi katika utawala wake kuagiza mtu yeyote anayestahili kulipa kodi asilipe na wala haamini kwamba kuna mtu kwenye familia yake anaweza kufanya...
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Ufisadi Bima ya Afya
MFUKO wa Bima ya Afya (NHIF), umekumbwa na kashfa ya ufisadi ya kutumia zaidi ya sh. milioni 200 kununua gari jipya ambalo wamemkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,...
11 years ago
Mwananchi12 Jun
Uchunguzi wa ufisadi waanza
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Wabunge wakipalilia ufisadi
HIVI yule Mtanzania aliyetunga wimbo mzuri, mtamu na tuliokuwa tukiuimba kwa ufahari, mbwembwe na maringo ya hali ya juu enzi hizo tukiwa shuleni usemao: “Tanzania, Tanzania. Nakupenda kwa moyo wote,”...