Ufisadi wa makontena
Kama ulikuwa unadhani kupotea kwa makontena 349 bila kulipiwa ushuru ni ukwepaji kodi uliopitiliza unajidanganya, jana Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alifanya ziara nyingine ya kushtukiza bandarini baada ya kupewa taarifa kwamba kuna makontena 2,431 yametolewa bila kulipiwa ushuru.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo22 Apr
Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Sitta-22April2015.jpg)
Aidha, imebainika pia kuwa ya...
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Sh bilioni 65.7 za makontena gizani
*Ni za ufisadi wa Bil. 80/- ulioibuliwa na Majaliwa
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
WAKATI vita dhidi ya wakwepa kodi katika Bandari ya Dar es Salaam ikipamba moto, umeibuka utata wa Sh bilioni 80 ambazo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alisema ni kodi ya makontena 329 kutoka kwa wafanyabiashara 58, walioyatoa bandarini bila kuyalipia kodi.
Akitoa ufafanuzi wa ukusanyaji wa fedha hizo, Desemba 12, Kaimu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dk. Philip Mpango, aliwaeleza waandishi wa...
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Tajiri wa makontena abainika
MIONGONI mwa wafanyabiashara waliohifadhi makontena yenye utata katika malipo ya kodi kwenye Band
Mwandishi Wetu
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Watuhumiwa wa makontena 40 wawekwa rumande
NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewakamata watumishi 40 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari (TPA) wanaotuhumiwa kula njama za kuikosesha Serikali mapato.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini, Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, alisema jeshi hilo linawashikilia watumishi 26 wa TRA na watatu wa Bandari kavu (ICD) ya Azam kwa kuhusika na upotevu wa makontena 329.
Aliwataja watumishi...
9 years ago
Habarileo02 Dec
Makontena yanaswa sakata TRA
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata makontena tisa, yaliyotoroshwa kutoka katika bandari kavu na kuhamishiwa katika eneo la Mbezi Tangi Bovu, Dar es Salaam, hivyo kuwepo na kiashiria cha ukwepaji wa kodi.
9 years ago
Habarileo10 Dec
JK: Sijawahi kusamehe kodi makontena
RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amesema katika uongozi wake wa miaka 10, hakuwahi kuagiza mtu asamehewe kontena lake lisilipe kodi na angefanya hivyo, mapato ya Serikali yasingeongezeka kutoka Sh bilioni 177 kwa mwezi mpaka Sh bilioni 900.
9 years ago
Habarileo10 Dec
TRA yagomea wamiliki wa makontena
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewagomea kulipa kodi bila adhabu baadhi ya wamiliki wa makontena, ambayo yalitoroshwa kwenye bandari kavu bila kulipiwa kodi. Badala yake, TRA imewapelekea hati ya malipo inayowataka wafanyabiashara hao, kuhakikisha wanalipa kodi hiyo na adhabu ndani ya siku saba, la sivyo watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo.
9 years ago
Mwananchi03 Jan
Sakata la makontena lahamia mahakamani
9 years ago
Mwananchi02 Dec
Makontena tisa yakamatwa Dar