Makontena tisa yakamatwa Dar
Mamlaka ya Bandari Tanzania (PTA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wamekamata makontena tisa yanayodhaniwa kukwepa kulipa kodi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Makontena 31 ya magogo yakamatwa bandarini Dar
9 years ago
Mtanzania02 Dec
TRA yakamata makontena tisa Dar
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukamata makontena tisa, mali ya Kampuni ya Heritage Limited yakiwa katika eneo la maficho ya Mbezi Tangi bovu, Dar es Salaam kinyume cha sheria.
Akizungumza kuhusu ukamataji huo akiwa eneo la tukio jana, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi TRA, Richard Kayombo, alisema taarifa hizo walipewa na msamaria mwema.
“Taarifa za kukamata makontena hayo tulipewa na msamaria mwema aliyetuambia kwamba usafirishaji...
9 years ago
Mwananchi03 Dec
TPA yakomalia wamiliki wa makontena tisa Dar
9 years ago
StarTV02 Dec
Wa Makontena TRA yakamata tisa Mbezi Tangibovu Dar
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA inayashikilia makontena tisa yanayodaiwa kuingizwa na kutolewa bandarini kinyume cha sheria ya ulipaji kodi ikitoa saa ishirini na nne kwa wamiliki wa makontena hayo kujisalimisha.
Makontena hayo yamekatwa kwenye eneo la Mbezi Tangibovu jijini Dar es Salaam, eneo ambalo kwa mujibu wa TRA halina kibali kisheria kuhifadhi makontena kama bandari kavu.
Taarifa za wasamaria wema, zinawafikisha mamlaka ya mapato nchini TRA, mamlaka ya bandari, (TPA) na jeshi la...
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
Kahawa iliyoibwa Burundi yakamatwa Dar
SHEHENA ya magunia 300 ya kahawa kutoka Burundi iliyoibwa wakati ikisafrishwa kutoka nchini humo kwenda nje ya nchi kupitia Bandari ya Dar es Salaam, imepatikana. Habari zilizopatikana mwishoni mwa wiki...
11 years ago
Habarileo09 May
Hoteli maarufu Dar yakamatwa kodi
MGAHAWA maarufu jijini Dar es Salaam unaozunguka juu ya jengo la Golden Jubilee lenye zaidi ya ghorofa 20, umekamatwa kwa kukwepa kodi baada ya kuacha kutumia Mashine ya Kodi ya Kielektroniki (EFDs) licha ya kuwa nayo.
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Meno 156 ya tembo yakamatwa Dar
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Waziri wa Magufuli kaapishwa jana, leo kaibuka na ‘jipu’ jingine la makontena bandarini Dar
Headlines kwenye vyombo vya habari zinabebwa na neno ‘jipu’ au ‘majipu’ kutokana na kauli na ahadi ya Rais Magufuli kwamba lazima atumbue majipu ya ufisadi na ubadhirifu Serikalini. Tuliyapata ya upotevu wa makontena zaidi ya 2,000 bandarini ambayo yalitoroshwa bila kulipia ushuru, Serikali ikaamua baadhi ya watumishi wakamatwe na kesi zao zinaendelea Mahakamani… kingine kilichoripotiwa […]
The post Waziri wa Magufuli kaapishwa jana, leo kaibuka na ‘jipu’ jingine la makontena bandarini Dar...
9 years ago
Mwananchi30 Aug
Msiba wa watu tisa Dar utuzindue