Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hoteli maarufu Dar yakamatwa kodi

Naibu Kamishna wa Idara ya Kodi za Ndani, Generosa BateyungaMGAHAWA maarufu jijini Dar es Salaam unaozunguka juu ya jengo la Golden Jubilee lenye zaidi ya ghorofa 20, umekamatwa kwa kukwepa kodi baada ya kuacha kutumia Mashine ya Kodi ya Kielektroniki (EFDs) licha ya kuwa nayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Makontena tisa yakamatwa Dar

Mamlaka ya Bandari Tanzania (PTA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wamekamata makontena tisa yanayodhaniwa kukwepa kulipa kodi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kahawa iliyoibwa Burundi yakamatwa Dar

SHEHENA ya magunia 300 ya kahawa kutoka Burundi iliyoibwa wakati ikisafrishwa kutoka nchini humo kwenda nje ya nchi kupitia Bandari ya Dar es Salaam, imepatikana. Habari zilizopatikana mwishoni mwa wiki...

 

9 years ago

Mwananchi

Meno 156 ya tembo yakamatwa Dar

Polisi jijini Dar es Salaam imekamata vipande 156 vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilo 211.66 vikiwa vimetandazwa kwenye nyumba moja wilayani Temeke.

 

9 years ago

Mwananchi

Makontena 31 ya magogo yakamatwa bandarini Dar

Wizara ya Maliasili na Utalii imekamata makontena 31 yaliyokuwa na magogo ya mninga katika Bandari ya Dar es Salaam yenye thamani ya zaidi ya Sh300 milioni ambayo yalikuwa yanasafirishwa kwenda China.

 

10 years ago

Michuzi

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena waadhimisha siku ya mazingira kwa kufanya usafi maeneo ya barabara jijini dar

wafanyakazi wa Hoteli ya Dar es Salaam Serena ambao ni wakereketwa wakubwa wa mazingira, waliadhimisha siku hii asubuhi ya leo kwa kufanya usafi barabara ya Ohio kuzunguka mpaka ufukwe wa bahari ya Hindi.
Akiongea  mara baada ya zoezi hilo la usafi mkurugenzi mkuu wa masoko wa hoteli hiyo ndugu Seraphin Lusala aliwashukuru wafanyakazi wa hoteli hiyo kwa kushiriki katika zoezi hilo la kufanya usafi wa mazingira ili kuonyesha mfano kwa jamii kwamba uchafuzi wa mazingira haukubaliki na...

 

11 years ago

GPL

MC MAARUFU DAR APIGWA RISASI 9

Stori: Haruni Sanchawa na Issa Mnally
Masikitiko yameigubika familia ya Jafari na wakazi wa Yombo-Kilakala, Temeke jijini Dar kufuatia tukio la mshereheshaji (MC) maarufu, Kelvin Jafari ‘Kalembo’ (42) kupigwa risasi tisa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi. MC Kelvin Jafari ‘Kalembo’ enzi za uhai wake. Tukio hilo lilijiri saa moja usiku wa Jumamosi iliyopita huko Yombo ambapo kwa mujibu wa mashuhuda,...

 

5 years ago

Michuzi

RC ARUSHA MRISHO GAMGO ASEMA HOTELI ALIYOPATIKANA MGONJWA WA CORONA IMEIFUNGA, WALIOPO HOTELI WOTE HAKUNA KUTOKA WALA KUINGIA

Na Mwandishi Wetu,Michuzi Globu ya jamii

MKUU wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya Mkoa huo amebainika kuwepo kwa mgonjwa mmoja wa Corona na kwamba hoteli ambayo amekutwa mgonjwa huyo imefungwa na hivyo hakuna anayeingia wala anayetoka.

Akizungumza leo Machi 16 mwaka 2020 , Mkuu wa Mkoa wa Arusha Gambo amesema kama ambavyo ameeleza Waziri wa Afya ,Maendeleo  ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ni kweli wamepata mgonjwa mmoja wa Corona na kwa mujibu wa taarifa huyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kashfa tawi maarufu la Simba Dar

WAKATI Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba, ikitoa onyo kali kwa watu wanaojihusisha kutoa kadi na risiti za kughushi, habari za uhakika zinaeleza kuwa tawi moja maarufu la jijini...

 

10 years ago

GPL

MCHINJAJI MAARUFU DUNIANI ALIVYOKAMATWA DAR

NA MWANDISHI WETU
JINA Jihadi John ‘Mohammed Emwazi’  (26) ni maarufu kwa sasa baada ya kijana huyo kubainika kwamba ndiye muuaji mwenye kiu isiyokatika kutoka Kundi la Islamic State ‘IS’ ambalo linaendesha vita dhidi ya Dola za Kiislam. Jihadi John ‘Mohammed Emwazi’  (26). Kwa wale wasiomfahamu sawasawa muuaji huyo, anaonekana mara kwa mara katika runinga akiwachinja bila huruma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani