Ufisadi: Hawajakoma
Unaweza kusema hawajakoma kutokana na vitendo vya ukwepaji kodi kuzidi kuibuliwa katika Bandari ya Dar es Salaam katika kipindi ambacho Rais John Magufuli na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wanachukua hatua dhidi ya upotevu wa makontena bandarini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo504 Dec
Hawajakoma bado: Makontena mengine 2431 yapita bandarini bila kulipiwa kodi
![4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/4-300x194.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea bandarini na shirika la reli Tanzania(TRL).
Akiwa bandarini amekagua mfumo wa utoaji na uingizaji mizigo bandarini. Katika maongezi ya awali meneja wa bandari alimuhakikishia kuwa mfumo hauruhusu kontena kuibiwa lakini waziri mkuu alienda na ripoti ya ukaguzi na kumuonyesha majina ya waliopitisha makontena zaidi 2431 bila kulipiwa kodi.
Amempa muda wa masaa matatu hadi saa kumi na mbili jioni aambiwe hatua zilizochukuliwa kwa wahusika kwa sababu...
10 years ago
Vijimambo22 Apr
Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Sitta-22April2015.jpg)
Aidha, imebainika pia kuwa ya...