Hawajakoma bado: Makontena mengine 2431 yapita bandarini bila kulipiwa kodi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea bandarini na shirika la reli Tanzania(TRL).
Akiwa bandarini amekagua mfumo wa utoaji na uingizaji mizigo bandarini. Katika maongezi ya awali meneja wa bandari alimuhakikishia kuwa mfumo hauruhusu kontena kuibiwa lakini waziri mkuu alienda na ripoti ya ukaguzi na kumuonyesha majina ya waliopitisha makontena zaidi 2431 bila kulipiwa kodi.
Amempa muda wa masaa matatu hadi saa kumi na mbili jioni aambiwe hatua zilizochukuliwa kwa wahusika kwa sababu...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AVAMIA TENA BANDARINI NA TRL,AKUTA MAKONTENA 2431 YEMETOKA BILA KULIPIWA KODI.
9 years ago
Dewji Blog04 Dec
Waziri Mkuu atinga tena bandarini na TRL, akuta makontena 2431 yametoka bila kulipiwa kodi!!
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua bandari ya Dar s salaam Desemba 3, 2015 ambako alikwenda kupata ukweli kuhusu makontena 2,431 yaliyopitia kwenye bandari hiyo bila kulipiwa kodi ya serikali. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara nyingine ya kushtukiza bandarini na kukagua mfumo wa upokeaji na utoaji mizigo na utozaji wa malipo baada ya kupewa taarifa kwamba kuna makontena 2,431 yametolewa bila kulipiwa ushuru.
Waziri Mkuu alisema kwa mujibu wa...
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Makontena 31 ya magogo yakamatwa bandarini Dar
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/M_g4z6mj1q4/default.jpg)
9 years ago
Habarileo04 Dec
Majaliwa anasa makontena mengine 2,400
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya ziara nyingine ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam na kukagua mfumo wa upokeaji na utoaji mizigo na utozaji wa malipo baada ya kupewa taarifa kwamba kuna makontena 2,431 yametolewa bila kulipiwa ushuru.
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Waziri wa Magufuli kaapishwa jana, leo kaibuka na ‘jipu’ jingine la makontena bandarini Dar
Headlines kwenye vyombo vya habari zinabebwa na neno ‘jipu’ au ‘majipu’ kutokana na kauli na ahadi ya Rais Magufuli kwamba lazima atumbue majipu ya ufisadi na ubadhirifu Serikalini. Tuliyapata ya upotevu wa makontena zaidi ya 2,000 bandarini ambayo yalitoroshwa bila kulipia ushuru, Serikali ikaamua baadhi ya watumishi wakamatwe na kesi zao zinaendelea Mahakamani… kingine kilichoripotiwa […]
The post Waziri wa Magufuli kaapishwa jana, leo kaibuka na ‘jipu’ jingine la makontena bandarini Dar...
9 years ago
StarTV04 Dec
Ziara Ya Waziri Mkuu TPA akuta Makontena mengine 2,431 yamepotea.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi kumi wa Mamlaka ya Bandari nchini TPA kupisha uchunguzi wa upotevu wa makontena 2,431 yaliyopita chini ya Mamlaka ya Bandari bila kulipiwa kodi kati ya Machi na Septemba mwaka 2014.
Hatua hii inakuja baada ya ziara ya ghafla ya Waziri Mkuu bandarini ambapo amezungukia idara mbalimbali.
Pamoja na hatua hiyo Waziri Mkuu ametaka majina ya vigogo waliohusika na uondoshwaji wa makontena hayo kumfikia kabla ya saa kumi na moja jioni ya...
11 years ago
Dewji Blog17 May
Bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani ya nchi yapita bila kupingwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Naibu wake, Pereira Sirima (kulia) wakipongezwa na Wabunge baada ya bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo, bungeni mjini Dodoma May 16, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, bungeni mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Makambako, Deo Sanga (kushoto) na Mbunge wa Viti Maaliam, Lediana Mng’ong’o...
9 years ago
Habarileo10 Dec
JK: Sijawahi kusamehe kodi makontena
RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amesema katika uongozi wake wa miaka 10, hakuwahi kuagiza mtu asamehewe kontena lake lisilipe kodi na angefanya hivyo, mapato ya Serikali yasingeongezeka kutoka Sh bilioni 177 kwa mwezi mpaka Sh bilioni 900.