ripoti ya maoni inayohusu mabadiliko ya Tabianchi kuwasilishwa Peru
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto), akipokea ripoti ya maoni inayohusu mabadiliko ya Tabianchi kutoka kwa Uester Kibona ambaye ni mwenyekiti wa Asasi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira (FORUM CC).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (wa kwanza kushoto) na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu (wa pili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/DSC_0005.jpg)
WADAU WAKUTANA KUJADILI RIPOTI YA MABADILIKO YA TABIANCHI
9 years ago
VijimamboWADAU WAKUTANA KUJADILI RIPOTI YA FEDHA ZA MISAADA YA MABADILIKO YA TABIANCHI
10 years ago
Dewji Blog30 Jun
RIPOTI MAALUM: Mabadiliko ya tabianchi yanavyo athiri wakulima nchini Kenya
Dk. Paul Andre Calatayud ambaye ni miongoni mwa wanasayansi wanaofanya utafiti wa wadudu katika taasisi ya wadudu ya ICIPE kwenye mradi wa CHIESA (Climate Change Impacts on Ecosystem Services and Food security) iliyopo Kenya akionyesha wandishi wa habari waliotembelea katika eneo la Taita-Taveta, wakati wa utafiti huo.
Na Andrew Chale, Taita-Taveta, Kenya
[Taita Taveta, Kenya] Ni safari ya zaidi ya masaa saba (7), kwa gari kutoka mji mkuu wa Kenya, Nairobi kuelekea hadi Kaunti ya Taita...
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
Ripoti Maalum: Mabadiliko ya tabianchi yaathiri visiwa vya Mafia nchini Tanzania
Moja ya eneo lililoaribika kutokana na hali ya mabadiliko ya tabianchi (Climate Change) katika fukwe ya Kilindoni, katika Kisiwa cha Mafia, Mkoani Pwani, nchini Tanzania. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Afisa Mazingira wa Wilaya ya Mafia, Bw. Gideon Zakayo
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[MAFIA-ISLAND] Kisiwa cha Mafia kijografia kipo karibu na mlango wa Mto Rufiji kusini mwa Tanzania.
Hata hivyo, Kisiwa hichi ambacho ni Wilaya moja wapo ya Mkoa wa Pwani inakabiriwa kwa kiwango...
9 years ago
Dewji Blog30 Aug
RIPOTI MAALUM:Mabadiliko ya Tabianchi yalivyoathiri zao la mpunga Mkoani Morogoro kwa virusi vya Ugonjwa wa Kimyangu
Mwandishi wa Makala haya, Andrew Chale, ambaye pia ni Mhariri wa mtandao (blog) ya modewjiblog.com, akiwa katika moja ya shamba la Mpunga la Mkulima Bwana Nguji, Kijiji cha Mtimbira, Wilayani Ulaanga Mkoa wa Morogoro -Tanzania hivi karibuni. ( Picha na modewjiblog).
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[Morogoro, Tanzania] Zikiwa zimebaki siku zaidi ya 90, kuelekea mkutano mkuu wa 21 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Mabadiriko ya Nchi (COP21) unaotarajiwa kufanyika Paris , Ufaransa, Desemba mwaka...
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Ripoti ya ufisadi kuwasilishwa bungeni
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/--yA55mM9-_c/VHy6RSUKk_I/AAAAAAAG0n8/YXCNCqLWJ18/s72-c/unnamed%2B(20).jpg)
Ufunguzi wa mkutano wa 20 wa Dunia wa Mabadiliko ya Tabia Nchi MJini Lima Nchini Peru
![](http://2.bp.blogspot.com/--yA55mM9-_c/VHy6RSUKk_I/AAAAAAAG0n8/YXCNCqLWJ18/s1600/unnamed%2B(20).jpg)
11 years ago
Habarileo21 May
Mfuko wa mabadiliko ya tabianchi kuanzishwa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inatarajia kuanzisha Mfuko wa Fedha kwa ajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, ambayo miongoni mwa athari zake ni uharibifu wa mazingira.
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Mabadiliko ya tabianchi kuathiri umeme
MABADILIKO ya tabianchi yametajwa kuchangia kwa kiwango kikubwa kupungua kwa uzalishaji wa umeme unaotokana na vyanzo vya maji, hivyo kukwamisha ukuaji wa uchumi wa nchi. Kauli hiyo imetolewa na Naibu...