WADAU WAKUTANA KUJADILI RIPOTI YA FEDHA ZA MISAADA YA MABADILIKO YA TABIANCHI
Mwenyekiti wa bodi ya ForumCC, Euster Kibona akifungua semina ya kujadili ripoti ya matumizi ya fedha za misaada hasa kwenye mabadiliko ya tabianchi iliyofanyika jijini Dar
Mratibu wa Forum CC, Rebecca Muna akitoa maelezo kuhusu ForumCC kwenye semina na wadau wa mazingira waliofika kujadili changamoto za bajeti ya mabadiliko ya tabianchi ambayo imewashirikisha baadhi ya wadau wa mazingira hapa nchini na nje ya nchi
Judy Ndichu ambaye ni mjumbe wa mazingira kutoka nchini Kenya akitoa somo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/DSC_0005.jpg)
WADAU WAKUTANA KUJADILI RIPOTI YA MABADILIKO YA TABIANCHI
11 years ago
GPLWADAU WAKUTANA KUJADILI UTAYARI WA TANZANIA KUPOKEA NA KUTUMIA FEDHA ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI
11 years ago
MichuziWADAU WAKUTANA LEO KUJADILI UTAYARI WA TANZANIA KATIKA KUPOKEA NA KUTUMIA FEDHA ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI
9 years ago
MichuziWadau wakutana Dar kujadili Mkataba Mpya wa Mabadiliko ya Tabianchi ‘Paris Agreement’
Mkutano huo wa wadau umeandaliwa na ForumCC kwa kushirikiana na Rosa Luxemburg Stiftung (RLS) kwa lengo la kuangalia mazidi na mapungufu ya mkataba huo ambao umeweka historia mpya ya kuelekea juhudi za...
9 years ago
Dewji Blog29 Oct
Wataalamu na Wadau wa Mazingira waendelea kujadili mada katika mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu Afrika
Baadhi ya washiriki wa mkutano mkubwa wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika unaoendelea muda huu Victoria Falls-Zimbabwe wakifuatilia mada leo Oktoba 29, siku ya pili ya mkutano huo. Tayari mada mbalimbali za kitaalamu juu ya mabadiliko ya tabianchi na mambo ya kimikakati ya kukabiliana na mazingira, hali ya hewa na mengine yanaendelea kujadiliwa muda huu. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[VICTORIA FALLS-ZIMBABWE]...
9 years ago
Dewji Blog09 Sep
Forum CC wakutana na wadau kujadili fedha za utafiti zinazopelekwa sekta ya Kilimo na mifugo nchini
Mwenyekiti wa bodi ya ForumCC, Euster Kibona akifungua semina ya kujadili ripoti ya matumizi ya fedha za misaada hasa kwenye mabadiliko ya tabianchi iliyofanyika jana jijini Dar.
Mratibu wa Forum CC, Rebecca Muna akitoa maelezo kuhusu ForumCC kwenye semina na wadau wa mazingira waliofika kujadili changamoto za bajeti ya mabadiliko ya tabianchi ambayo imewashirikisha baadhi ya wadau wa mazingira hapa nchini na nje ya nchi.
Judy Ndichu ambaye ni mjumbe wa mazingira kutoka nchini Kenya...
10 years ago
Michuziripoti ya maoni inayohusu mabadiliko ya Tabianchi kuwasilishwa Peru
10 years ago
Dewji Blog30 Jun
RIPOTI MAALUM: Mabadiliko ya tabianchi yanavyo athiri wakulima nchini Kenya
Dk. Paul Andre Calatayud ambaye ni miongoni mwa wanasayansi wanaofanya utafiti wa wadudu katika taasisi ya wadudu ya ICIPE kwenye mradi wa CHIESA (Climate Change Impacts on Ecosystem Services and Food security) iliyopo Kenya akionyesha wandishi wa habari waliotembelea katika eneo la Taita-Taveta, wakati wa utafiti huo.
Na Andrew Chale, Taita-Taveta, Kenya
[Taita Taveta, Kenya] Ni safari ya zaidi ya masaa saba (7), kwa gari kutoka mji mkuu wa Kenya, Nairobi kuelekea hadi Kaunti ya Taita...
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
Ripoti Maalum: Mabadiliko ya tabianchi yaathiri visiwa vya Mafia nchini Tanzania
Moja ya eneo lililoaribika kutokana na hali ya mabadiliko ya tabianchi (Climate Change) katika fukwe ya Kilindoni, katika Kisiwa cha Mafia, Mkoani Pwani, nchini Tanzania. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).
Afisa Mazingira wa Wilaya ya Mafia, Bw. Gideon Zakayo
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[MAFIA-ISLAND] Kisiwa cha Mafia kijografia kipo karibu na mlango wa Mto Rufiji kusini mwa Tanzania.
Hata hivyo, Kisiwa hichi ambacho ni Wilaya moja wapo ya Mkoa wa Pwani inakabiriwa kwa kiwango...