Wataalamu na Wadau wa Mazingira waendelea kujadili mada katika mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu Afrika
Baadhi ya washiriki wa mkutano mkubwa wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika unaoendelea muda huu Victoria Falls-Zimbabwe wakifuatilia mada leo Oktoba 29, siku ya pili ya mkutano huo. Tayari mada mbalimbali za kitaalamu juu ya mabadiliko ya tabianchi na mambo ya kimikakati ya kukabiliana na mazingira, hali ya hewa na mengine yanaendelea kujadiliwa muda huu. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[VICTORIA FALLS-ZIMBABWE]...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog28 Oct
Mkutano wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika waanza leo Victoria Falls-Zimbabwe
Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Mh. Emmerson Mnangagwa akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa mkutano wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani Afrika unaoendelea muda huu Victoria Falls-Zimbabwe. Ambapo amezitaka nchi za Afrika kuendelea kushikamana katika kukabiliana na mabadiuliko ya tabianchi pamoja na ukuaji wa uchumi. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog)
Baadhi ya washiriki wa mkutano mkubwa wa tano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo endelevu barani...
11 years ago
GPLMKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziVIJANA WAUNGANA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI KATIKA MALENGO 17 YA MAENDELEO ENDELEVU (SDGs)
Akizungumza na wadau wa Mabadiliko ya Tabianchi,Mratibu wa Mtandao wa Mabadiliko ya Tabianchi,Sixberty Mwanga amesema kuwa katika malengo 17 ya Maendeleo Endelevu Tanzania inatakiwa kushiriki na kukubali juu ya kuweza kupata fedha za kuweza kutekeleza malengo hayo.
Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Malengo...
11 years ago
MichuziMkutano wa Mwaka wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi wafanyika jijini Dar es Salaam
11 years ago
MichuziWADAU WAKUTANA LEO KUJADILI UTAYARI WA TANZANIA KATIKA KUPOKEA NA KUTUMIA FEDHA ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI
10 years ago
GPL
WADAU WAKUTANA KUJADILI RIPOTI YA MABADILIKO YA TABIANCHI
5 years ago
Michuzi
ZUNGU AMEWATAKA WATAALAMU KUFANYA TATHMINI YA MAZINGIRA KUJUA MADHARA YATOKANAYO NA MABADILIKO YA TABIANCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akitoa maelekezo alipotembelea eneo la bahari kusikiliza na kutatua mgogoro uliotokana na changamoto za kimazingira kati ya wamiliki wa hoteli ya Wellworth na White Sands jijini Dar es Salaam wakituhimiana kujenga ukuta unasababisha mmonyoko wa udongo na...
10 years ago
VijimamboWADAU WAKUTANA KUJADILI RIPOTI YA FEDHA ZA MISAADA YA MABADILIKO YA TABIANCHI
9 years ago
MichuziWadau wakutana Dar kujadili Mkataba Mpya wa Mabadiliko ya Tabianchi ‘Paris Agreement’
Mkutano huo wa wadau umeandaliwa na ForumCC kwa kushirikiana na Rosa Luxemburg Stiftung (RLS) kwa lengo la kuangalia mazidi na mapungufu ya mkataba huo ambao umeweka historia mpya ya kuelekea juhudi za...