RIPOTI YA CAG Ni madudu kila kona
Na Arodia Peter, Dodoma
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za mitaa,mashirika ya umma na serikali kuu.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa ripoti ya ukaguzi mjini Dodoma jana,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad alisema ukaguzi huo umefanywa katika taasisi 176 za Serikali kuu, halmashauri 163 na mashirika ya umma 109.
Alisema usimamizi wa bajeti kwa mamlaka ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 May
Ripoti ya CAG yaanika madudu
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, imetolewa na kuwasilishwa bungeni jana huku ikiendelea kuibua madudu katika matumizi ya fedha.
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
Lowassa aendelea kujipatia umaarufu kila kona kila kundi, Manyara ajizolea udhamini mnono
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mji wa Babati mkoani Manyara, Juni 25, 2015 wakati akitoa shukrani baada ya kupata wana CCM 42,405 walioamdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu wa 2015. 9Picha na K-VIS MEDIA).
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward...
11 years ago
Habarileo30 Mar
CAG apongezwa kwa kuondoa ‘madudu’
OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imepongezwa kwa kufanya mabadiliko makubwa katika ukaguzi wa hesabu hizo, ukilinganisha na miaka ya nyuma. Imeelezwa kuwa huko nyuma, kulikuwa na matatizo makubwa katika hesabu za fedha za serikali. Kutokana na hali hiyo, CAG ametakiwa aendelee kutimiza majukumu yake kikamilifu.
11 years ago
Mwananchi13 May
CAG aibua madudu Benki ya Posta
11 years ago
Mwananchi12 May
CAG aendelea kuibua madudu, sasa HESLB
10 years ago
Habarileo02 Dec
Mwakyembe akabidhiwa ripoti ya ‘madudu’ TRL
KAMATI ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe imekabidhi ripoti ya uchunguzi iliyofanya huku ikitoa mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa ili kampuni hiyo irudi katika hali yake.
11 years ago
GPLCHAMPIONI KILA KONA
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Majanga kila kona
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Lowassa kila kona