CAG apongezwa kwa kuondoa ‘madudu’
OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imepongezwa kwa kufanya mabadiliko makubwa katika ukaguzi wa hesabu hizo, ukilinganisha na miaka ya nyuma. Imeelezwa kuwa huko nyuma, kulikuwa na matatizo makubwa katika hesabu za fedha za serikali. Kutokana na hali hiyo, CAG ametakiwa aendelee kutimiza majukumu yake kikamilifu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 May
Ripoti ya CAG yaanika madudu
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad, imetolewa na kuwasilishwa bungeni jana huku ikiendelea kuibua madudu katika matumizi ya fedha.
11 years ago
Mwananchi13 May
CAG aibua madudu Benki ya Posta
10 years ago
Mtanzania20 May
RIPOTI YA CAG Ni madudu kila kona
Na Arodia Peter, Dodoma
RIPOTI ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeibua ufisadi mkubwa katika mamlaka za Serikali za mitaa,mashirika ya umma na serikali kuu.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutoa ripoti ya ukaguzi mjini Dodoma jana,Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad alisema ukaguzi huo umefanywa katika taasisi 176 za Serikali kuu, halmashauri 163 na mashirika ya umma 109.
Alisema usimamizi wa bajeti kwa mamlaka ya...
11 years ago
Mwananchi12 May
CAG aendelea kuibua madudu, sasa HESLB
10 years ago
Habarileo24 Dec
JK apongezwa kwa hotuba
HOTUBA ya Rais Jakaya Kikwete wakati analihutubia taifa kupitia wazee na wakazi wa Dar es Salaam juzi, imepongezwa sambamba na hatua kadhaa alizochukua dhidi ya sakata la Akaunti ya Escrow.
9 years ago
Habarileo26 Aug
JK apongezwa kwa maabara
KIONGOZI wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka huu, Juma Khatib Chum amesema dhamira ya serikali ya awamu ya nne kuanzisha ujenzi wa vyumba vya maabara za sayansi katika shule za sekondari za kata umelenga kuifanya Tanzania kuwa ya kisayansi.
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Madudu vitabu vilivyonunuliwa kwa chenji ya rada
10 years ago
Dewji Blog15 Feb
Mwalimu apongezwa kwa kusimamia maabara
Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Sengerema, Bw. Hassan Moshi, akiwa nje ya jengo la maabara la shule ya sekondari ya sekondari Iligamba iliyoko kata ya Bupandwa wilayani Sengerema mkoani Mwanza.
Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Sengerema, Bw. Hassan Moshi amempongeza mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya sekondari Iligamba iliyoko kata ya Bupandwa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kwa kusimamia vyema swala la ujenzi wa maabara katika...
11 years ago
BBCSwahili17 May
Modi apongezwa kwa ushindi India