Mwalimu apongezwa kwa kusimamia maabara
Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Sengerema, Bw. Hassan Moshi, akiwa nje ya jengo la maabara la shule ya sekondari ya sekondari Iligamba iliyoko kata ya Bupandwa wilayani Sengerema mkoani Mwanza.
Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Sengerema, Bw. Hassan Moshi amempongeza mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya sekondari Iligamba iliyoko kata ya Bupandwa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kwa kusimamia vyema swala la ujenzi wa maabara katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo26 Aug
JK apongezwa kwa maabara
KIONGOZI wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka huu, Juma Khatib Chum amesema dhamira ya serikali ya awamu ya nne kuanzisha ujenzi wa vyumba vya maabara za sayansi katika shule za sekondari za kata umelenga kuifanya Tanzania kuwa ya kisayansi.
10 years ago
Habarileo15 Dec
Afukuzwa kazi kwa kushindwa kusimamia ujenzi wa maabara
MTENDAJI wa Kata ya Kinungu katika Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Velilian Mapalala amefukuzwa kazi kwa tuhuma za kutokaa katika kituo chake cha kazi na kushindwa kusimamia ujenzi wa vyumba vya maabara katika kata hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
MWALIMU LYIMO: Tunahitaji chombo huru cha kusimamia elimu
WAKATI akisoma hotuba ya bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014-2015 bungeni mjini Dodoma hivi karibuni; Waziri Kivuli Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi...
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Waziri Ummy Mwalimu ataka halmashauri ya Kinondoni kusimamia sheria za Mazingira
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty(kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu wakati wa ziara ya kujifunza masuala ya usimamizi wa taka zinazozalishwa katika halmashauri hiyo.
Hussein Makame-MAELEZO
NAIBU Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu amewataka watendaji wa kata za halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kusimamia utekelezaji wa sheria na kanuni za kusimamia mazingira kwani kufanya hivyo watafanikiwa...
11 years ago
Michuzi10 Jul
Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja
10 years ago
Habarileo24 Dec
JK apongezwa kwa hotuba
HOTUBA ya Rais Jakaya Kikwete wakati analihutubia taifa kupitia wazee na wakazi wa Dar es Salaam juzi, imepongezwa sambamba na hatua kadhaa alizochukua dhidi ya sakata la Akaunti ya Escrow.
11 years ago
BBCSwahili17 May
Modi apongezwa kwa ushindi India
11 years ago
Habarileo30 Mar
CAG apongezwa kwa kuondoa ‘madudu’
OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imepongezwa kwa kufanya mabadiliko makubwa katika ukaguzi wa hesabu hizo, ukilinganisha na miaka ya nyuma. Imeelezwa kuwa huko nyuma, kulikuwa na matatizo makubwa katika hesabu za fedha za serikali. Kutokana na hali hiyo, CAG ametakiwa aendelee kutimiza majukumu yake kikamilifu.
10 years ago
Habarileo13 Jan
Kikwete apongezwa kwa dhamira ya kutokomeza umasikini
HALMASHAURI ya wilaya ya Sikonge mkoani Tabora imempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa jitihada na dhamira yake ya dhati ya kupambana na umaskini hapa nchini kupitia mpango wa kuzinusuru na kuziwezesha kaya masikini kiuchumi.