Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete apongezwa kwa dhamira ya kutokomeza umasikini

Rais Jakaya KikweteHALMASHAURI ya wilaya ya Sikonge mkoani Tabora imempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa jitihada na dhamira yake ya dhati ya kupambana na umaskini hapa nchini kupitia mpango wa kuzinusuru na kuziwezesha kaya masikini kiuchumi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE APONGEZWA

Bw. Stanley Bergman akiteta jambo na Balozi Manongi wanaonekana pia wageni waalikwa waliojitokeza kwa wingi kwenye hafla hiyo. Rais na Mwanzilishi wa MCW, Bw. Eddie Bergman akielezea historia ya Taasisi hiyo ambayo aliianzisha ( 1999) akatumia fursa hiyo kutoa shukrani zake kwa wadau , wafadhili na marafiki mbalimbali ambao wameendelea kuiwezesha Taasisi hiyo na hatimaye kupitia kwayo kusaidia jamii katika maeneo mbalimbali na uwezeshaji wa vijana. Bw. Stanley Bergman, ...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete apongezwa kupatanisha Zanzibar

Rais Jakaya KikweteKAMATI ya Baraza la Wawakilishi ya Katiba na Utawala Bora, imempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kumaliza mgogoro wa kisiasa na kuimarika kwa amani na utulivu chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete apongezwa Umoja wa Mataifa

UMOJA wa Mataifa (UN) umempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wake wa kutoa uraia wa Tanzania kwa waliokuwa wakimbizi 162,156 wa Burundi.

 

10 years ago

Mtanzania

Kikwete: Afrika inaweza kupunguza umasikini

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

NA MWANDISHI MAALUMU, WASHINGTON

RAIS Jakaya Kikwete amesema pamoja na changamoto nyingi ambazo nchi za Afrika zinakumbana nazo, bado kuna uwezekano wa kuupunguza umasikini.

Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana katika mkutano unaojadili maendeleo na kumaliza umasikini ulioandaliwa na Shirika la Misaada la Marekani (USAID).

“Tukiwa na sera sahihi, Serikali kuingilia kati pamoja na ushirikiano na sekta binafsi, inawezekana kuondoa umasikini. Juhudi hizi zikifanikiwa...

 

10 years ago

Habarileo

JK apongezwa kwa hotuba

Rais Jakaya Kikwete.HOTUBA ya Rais Jakaya Kikwete wakati analihutubia taifa kupitia wazee na wakazi wa Dar es Salaam juzi, imepongezwa sambamba na hatua kadhaa alizochukua dhidi ya sakata la Akaunti ya Escrow.

 

9 years ago

Habarileo

JK apongezwa kwa maabara

KIONGOZI wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka huu, Juma Khatib Chum amesema dhamira ya serikali ya awamu ya nne kuanzisha ujenzi wa vyumba vya maabara za sayansi katika shule za sekondari za kata umelenga kuifanya Tanzania kuwa ya kisayansi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwalimu apongezwa kwa kusimamia maabara

IMG_0929

Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Sengerema, Bw. Hassan Moshi, akiwa nje ya jengo la maabara la shule ya sekondari ya sekondari Iligamba iliyoko kata ya Bupandwa wilayani Sengerema mkoani Mwanza.

Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Sengerema, Bw. Hassan Moshi amempongeza mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya sekondari Iligamba iliyoko kata ya Bupandwa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kwa kusimamia vyema swala la ujenzi wa maabara katika...

 

11 years ago

BBCSwahili

Modi apongezwa kwa ushindi India

Mtu anayetarajiwa kushika wadhifa wa Waziri Mkuu nchini India Narendra Modi amepongezwa na umati mkubwa mjini Delhi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani