Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK apongezwa kwa hotuba

Rais Jakaya Kikwete.HOTUBA ya Rais Jakaya Kikwete wakati analihutubia taifa kupitia wazee na wakazi wa Dar es Salaam juzi, imepongezwa sambamba na hatua kadhaa alizochukua dhidi ya sakata la Akaunti ya Escrow.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

JK apongezwa kwa maabara

KIONGOZI wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka huu, Juma Khatib Chum amesema dhamira ya serikali ya awamu ya nne kuanzisha ujenzi wa vyumba vya maabara za sayansi katika shule za sekondari za kata umelenga kuifanya Tanzania kuwa ya kisayansi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwalimu apongezwa kwa kusimamia maabara

IMG_0929

Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Sengerema, Bw. Hassan Moshi, akiwa nje ya jengo la maabara la shule ya sekondari ya sekondari Iligamba iliyoko kata ya Bupandwa wilayani Sengerema mkoani Mwanza.

Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Sengerema, Bw. Hassan Moshi amempongeza mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya sekondari Iligamba iliyoko kata ya Bupandwa wilayani Sengerema mkoani Mwanza kwa kusimamia vyema swala la ujenzi wa maabara katika...

 

11 years ago

Habarileo

CAG apongezwa kwa kuondoa ‘madudu’

OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imepongezwa kwa kufanya mabadiliko makubwa katika ukaguzi wa hesabu hizo, ukilinganisha na miaka ya nyuma. Imeelezwa kuwa huko nyuma, kulikuwa na matatizo makubwa katika hesabu za fedha za serikali. Kutokana na hali hiyo, CAG ametakiwa aendelee kutimiza majukumu yake kikamilifu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Modi apongezwa kwa ushindi India

Mtu anayetarajiwa kushika wadhifa wa Waziri Mkuu nchini India Narendra Modi amepongezwa na umati mkubwa mjini Delhi.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete apongezwa kwa dhamira ya kutokomeza umasikini

Rais Jakaya KikweteHALMASHAURI ya wilaya ya Sikonge mkoani Tabora imempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa jitihada na dhamira yake ya dhati ya kupambana na umaskini hapa nchini kupitia mpango wa kuzinusuru na kuziwezesha kaya masikini kiuchumi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Askari Fabiola apongezwa kwa kutwaa medali Kilimanjaro Marathon 2015

DSC04265

Mshindi wa Kilimanjaro marathon 2015 WP 4615 CPL Fabiola William wa jeshi la polisi mkoa wa Singida (katikati) akipunga mkono akiwa kwenye msafara uliompokea ukielekea ofisini kwa kamanda wa polisi mkoa wa Singida. WP Fabiola amezaliwa kata ya Ilongero jimbo la Singida kaskazini kata ambayo pia Inspekta Jenerali wa Jeshi la polisi nchini, Ernest Mangu ndiko alikozaliwa.

Na Nathaniel Limu, Singida

JESHI la polisi mkoa wa Singida,limeahidi kuendelea kuwahimiza na kuwahamasisha askari wake...

 

10 years ago

Michuzi

SPIKA MAKINDA APONGEZWA KWA KUTEULIWA KUWA RAIS WA MABUNGE YA SADC,MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Spika wa Bunge, Anne Makinda kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2014 katika tafrija ya kumpongeza Spika kwa kuteuliwa kuwa Rais wa Mabunge ya SADEC iliyofanyika mjini Dodoma. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Anna Abdallah na watatu kulia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki. Spika wa Bunge, Mh. Anne Makinda akipongezwa na Mbunge wa Viti Maalum Mh. Anna Abdallah  katika tafrija ya kumpongeza Spika kwa kuteuliwa kuwa...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI APONGEZWA KUTOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA, INASAIDIA KUZUIA MAAMBUKIZI YA CORONA

Na Mbaraka Kambona, Dodoma
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) amesema uamuzi wa kuwasamehe wafungwa 3973 uliofanywa na Rais Dk. John Magufuli (pichani) ni hatua muhimu katika kudhibiti kusambaa kwa maambukizi  ya  maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona.

Jaji Mwaimu aliyasema hayo leo Mei 7, 2020 Ofisini kwake jijini Dodoma alipokuwa akitoa mtazamo wake juu ya jitihada za Serikali za kudhibiti kuenea kwa maradhi hatari ya Korona. 

Alieleza   kuwa msamaha huo ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani