Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askari Fabiola apongezwa kwa kutwaa medali Kilimanjaro Marathon 2015

DSC04265

Mshindi wa Kilimanjaro marathon 2015 WP 4615 CPL Fabiola William wa jeshi la polisi mkoa wa Singida (katikati) akipunga mkono akiwa kwenye msafara uliompokea ukielekea ofisini kwa kamanda wa polisi mkoa wa Singida. WP Fabiola amezaliwa kata ya Ilongero jimbo la Singida kaskazini kata ambayo pia Inspekta Jenerali wa Jeshi la polisi nchini, Ernest Mangu ndiko alikozaliwa.

Na Nathaniel Limu, Singida

JESHI la polisi mkoa wa Singida,limeahidi kuendelea kuwahimiza na kuwahamasisha askari wake...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Njia Kilimanjaro Marathon 2015 zatangazwa

Mbio za Kilimanjaro Marathon 2015 zitafanyika kwenye njia ile ile iliyotumika mwaka jana baada ya kupimwa na kuidhinishwa na shirikisho la riadha duniani. Njia hiyo ni mzunguko na imelenga kuwafanya wanariadha wakimie kwa raha na usalama zaidi bila tatizo la msongamano barabarani.
Akizungumzia njia hiyo Mkurugenzi wa Kilimanjaro Marathon, John Bayo amesema “Ni njia nzuri sana. Mbio za Full marathon zitaanzia uwanja wa Ushirika na kwenda kilomita kumi njia ya kuelekea Dar es salaam na kurudia...

 

10 years ago

Vijimambo

SHINE A LIGHT KILIMANJARO MARATHON 2015

Shine a light members after the end of the 21km half marathon Dr Carl Mhina the current chairman of Shine  A Light with NBC manager Moshi branch Ally Janja  
Disability is not inability !One of the most inspiring runners with Dr Katundu at the marathon !Its not when you finish its why !
Shine A Light :This is a group founded by KCMC (Kilimanjaro Christian Medical College)students in June 2010 aimed at helping children who are less fortunate achieve their dreams, have a chance at life and a...

 

9 years ago

Vijimambo

MUINGEREZA MO FARAH AWASHINDA WAKENYA NA KUTWAA MEDALI YA DHAHABU

Mwanariadha Mo Farah amefanikiwa kutwaa taji lake la dunia na kwa kutetea taji lake la mbio za mita 10,000, licha ya kupoteza balansi katika raundi ya mwisho na kutwaa medali ya kwanza ya dhahabu kwa Uingereza katika mbio za Mabingwa Duniani. Mo Farah akichuana na wakenya Kamoror na TanuiMiaka saba iliyopita katika uwanja huo huo wa Jijin Beijing nchini China, Farah aliaondolewa katika michuano ya Olimpiki baada kushindwa kufuzu mbio za mita 5,000.
Hata hivyo katika mbio za mwaka huu, Farah...

 

10 years ago

Michuzi

Kilimanjaro Marathon 2015 kufanyika Machi 1,mjini Moshi

Mbio za 13 za Kilimanjaro Marathon ambazo zimepangwa kufanyika Machi 1, 2015 mjini Moshi mkoani Kilimanjaro zimepata msisimko mpya baada ya wanariadha nyota wa Tanzania kuthibitisha kushiriki.
Mkurugenzi wa Mbio hizo John Bayo jana katika taarifa yake kwa vyombo vya habari aliwataja baadhi ya wanariadha nyota kutoka Tanzania kuwa ni Andrew Sambu, Daudi Joseph, Mashaka Masumbuko, watachuana na wanariadha wengine kutoka nchini na kutoka nje ya nchi katika mbio za Kilimanjaro Premium Lager...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dar Swim Club watamba kutwaa medali, kwenda Dubai Jumatano

swima

Wachezaji wa klabu ya Dar Swim Club wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuondoka.

Na Mwandishi wetu

Kocha wa klabu ya kuogolea ya Dar Swim Club, Michael Livingstone ametamba kuwa waogelaji wake chipukizi watatwaa medali mbalimbali katika mashindano ya kuogelea ya kimataifa ya Dubai yanayojulikana kwa jina la “Hamilton Aquatics Dubai Long Course” yaliyopangwa kuanza Desemba 11.

Akizungumza jijini jana,  Livingstone alisema kuwa waogeleaji wote 13 wapo katika morali ya hali ya juu baada ya...

 

9 years ago

Michuzi

GAPCO KUDHAMINI KILIMANJARO MARATHON KILOMITA 10 KWA WALEMAVU 2016

GAPCO, kampuni ya mafuta inayoongoza Tanzania, imetangaza udhamini wake wa mbio za Kilimanjaro Marathon 2016 za kilomita 10 kwa walemavu.  Akitangaza udhamini huo jana wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo ya Kilimanjaro Marathon, Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi alisema GAPCO inaona fahari kudhamini mbio hizo za kilomita 10 kwa walemavu.  “Tumeshuhudia mbio hizi za Kilimanjaro Marathon zikikua tangu tuanze kudhamini mwaka 2011 na pia kufurahia faida wanayopata washiriki na...

 

11 years ago

Michuzi

PANONE FC WAFANYIWA SHEREHE BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA MKOA WA KILIMANJARO

Wachezaji wa timu ya Panone fc wakisalimia mara baada ya kutambulishwa wakati wa hafla ya kuwapongeza baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa mkoa. Katibu wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Mohamed Musa akizungumza jambo wakati wa hafla ya kuwapongeza wachezaji wa timu ya Panone fc mara baada ya kutwaa ubingwa wa mkoa wa Kilimanjaro. Mwamuzi Hafidh Mshery akisalimia  wakati wa hafla ya
kuwapongeza wachezaji wa Panone fc.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

BBCSwahili

Kilimanjaro Marathon yanukia

Wakimbiaji mashuhuri kutoka Kenya, Uganda na kwingine barani Afrika, Ulaya, America na Asia wanategemewa kuchuana katika mbio za kimataifa za Kili Marathon Kaskazini mwa Tanzani.

 

10 years ago

TheCitizen

Chikawe to flag off Kilimanjaro Marathon

Minister for Home Affairs Mathias Chikawe will flag off the 13th edition of the Kilimanjaro Marathon expected to take place in Moshi on March 1.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani