Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUINGEREZA MO FARAH AWASHINDA WAKENYA NA KUTWAA MEDALI YA DHAHABU

Mwanariadha Mo Farah amefanikiwa kutwaa taji lake la dunia na kwa kutetea taji lake la mbio za mita 10,000, licha ya kupoteza balansi katika raundi ya mwisho na kutwaa medali ya kwanza ya dhahabu kwa Uingereza katika mbio za Mabingwa Duniani. Mo Farah akichuana na wakenya Kamoror na TanuiMiaka saba iliyopita katika uwanja huo huo wa Jijin Beijing nchini China, Farah aliaondolewa katika michuano ya Olimpiki baada kushindwa kufuzu mbio za mita 5,000.
Hata hivyo katika mbio za mwaka huu, Farah...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Dar Swim Club watamba kutwaa medali, kwenda Dubai Jumatano

swima

Wachezaji wa klabu ya Dar Swim Club wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuondoka.

Na Mwandishi wetu

Kocha wa klabu ya kuogolea ya Dar Swim Club, Michael Livingstone ametamba kuwa waogelaji wake chipukizi watatwaa medali mbalimbali katika mashindano ya kuogelea ya kimataifa ya Dubai yanayojulikana kwa jina la “Hamilton Aquatics Dubai Long Course” yaliyopangwa kuanza Desemba 11.

Akizungumza jijini jana,  Livingstone alisema kuwa waogeleaji wote 13 wapo katika morali ya hali ya juu baada ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Askari Fabiola apongezwa kwa kutwaa medali Kilimanjaro Marathon 2015

DSC04265

Mshindi wa Kilimanjaro marathon 2015 WP 4615 CPL Fabiola William wa jeshi la polisi mkoa wa Singida (katikati) akipunga mkono akiwa kwenye msafara uliompokea ukielekea ofisini kwa kamanda wa polisi mkoa wa Singida. WP Fabiola amezaliwa kata ya Ilongero jimbo la Singida kaskazini kata ambayo pia Inspekta Jenerali wa Jeshi la polisi nchini, Ernest Mangu ndiko alikozaliwa.

Na Nathaniel Limu, Singida

JESHI la polisi mkoa wa Singida,limeahidi kuendelea kuwahimiza na kuwahamasisha askari wake...

 

10 years ago

BBCSwahili

James Guy abeba medali ya dhahabu

Mwingereza James Guy ameshinda medali ya dhahabu katika michuano ya kuogelea ya dunia inayofanyika Urusi

 

10 years ago

BBCSwahili

Adam Peaty atwaa medali ya dhahabu

Mwingereza Adam Peaty ametwaa medali ya dhahabu baada ya kuibuka bingwa katika michuano ya dunia ya mchezo wa kuogelea

 

10 years ago

BBCSwahili

Peaty atwaa medali ya pili ya dhahabu

Muingereza Adam Peaty ametwaa medali ya pili ya dhahabu katika michezo ya kuogelea ya dunia

 

10 years ago

Michuzi

MTANZANIA ASHINDA MEDALI MBILI ZA DHAHABU SWAZILAND.

 Bingwa wa mita 1500, Basil John kutoka Jeshi la Polisi Tanzania akimaliza mbio katika uwanja wa Mavuso mjini Mbabane Swaziland ambapo alifanikiwa kuchukua nafasi ya  katika michezo ya majeshi ya Polisi kwa nchi za Kusini mwa Afrika(SARPCCO) inayoendelea nchini Swaziland.(Picha na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi-Swaziland)Bingwa wa mita 1500, Basil John kutoka Jeshi la Polisi Tanzania akipongezwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi la Swaziland baada ya kumvalisha medali ya dhahabu katika michezo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja aota kutwaa kiatu cha dhahabu Ligi Kuu

Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santana ‘Jaja’ amebainisha kuwa amepata nguvu mpya kuichezea Yanga na sasa anapiga hesabu ya kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu huu na kutwaa kiatu cha dhahabu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Beijing:Wakenya washinda dhahabu nyengine 2

Kenya imeshinda dhahabu nyengine mbili katika mashindano ya riadha yanayoendelea mjini Beijing Uchina baada ya mrusha mkuki Julius Yego na Hyvin Jepkemoi wa mita 3000 kuruka viunzi upande wa wanawake kuchukua dhahabu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Bia ya Kibo Gold Lager ya SBL yashinda tuzo ya medali ya dhahabu ya ubora duniani ya Monde Selection

l

Na Mwandishi wetu

BIA ya Kibo Gold Lager imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa wakati wa sherehe za 53 za kila mwaka zilizofanyika huko Bordeaux, Ufaransa. 

‘Monde Selection’ ni tuzo zinazotolewa kila mwaka tangu mwaka 1961, kwa ajili ya bidhaa za vinywaji na chakula. Huendeshwa na kampuni ya Biashara ijulikanayo kama ‘International Institute for Quality Selections’ ya Brussels, Ubelgiji....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani