Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dar Swim Club watamba kutwaa medali, kwenda Dubai Jumatano

swima

Wachezaji wa klabu ya Dar Swim Club wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuondoka.

Na Mwandishi wetu

Kocha wa klabu ya kuogolea ya Dar Swim Club, Michael Livingstone ametamba kuwa waogelaji wake chipukizi watatwaa medali mbalimbali katika mashindano ya kuogelea ya kimataifa ya Dubai yanayojulikana kwa jina la “Hamilton Aquatics Dubai Long Course” yaliyopangwa kuanza Desemba 11.

Akizungumza jijini jana,  Livingstone alisema kuwa waogeleaji wote 13 wapo katika morali ya hali ya juu baada ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAOGELEAJI WA SWIM CLUB KWENDA DUBAI DISEMBA 9 MWAKA HUU.

Wachezaji wa klabu ya Dar Swim Club wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuondoka.
Na Mwandishi wetuKocha wa klabu ya kuogolea ya Dar Swim Club, Michael Livingstone ametamba kuwa waogelaji wake chipukizi watatwaa medali mbalimbali katika mashindano ya kuogelea ya kimataifa ya Dubai yanayojulikana kwa jina la “Hamilton Aquatics Dubai Long Course” yaliyopangwa kuanza Disemba 11.
Akizungumza jijini jana, Livingstone alisema kuwa waogeleaji wote 13 wapo katika morali ya hali ya juu baada ya...

 

9 years ago

TheCitizen

EDITORIAL: Dar Swim Club initiative must be fully supported

Currently,  Dubai is hosting a youth swimming international competition dubbed  Hamilton Aquatics Dubai long course.

 

9 years ago

Vijimambo

MUINGEREZA MO FARAH AWASHINDA WAKENYA NA KUTWAA MEDALI YA DHAHABU

Mwanariadha Mo Farah amefanikiwa kutwaa taji lake la dunia na kwa kutetea taji lake la mbio za mita 10,000, licha ya kupoteza balansi katika raundi ya mwisho na kutwaa medali ya kwanza ya dhahabu kwa Uingereza katika mbio za Mabingwa Duniani. Mo Farah akichuana na wakenya Kamoror na TanuiMiaka saba iliyopita katika uwanja huo huo wa Jijin Beijing nchini China, Farah aliaondolewa katika michuano ya Olimpiki baada kushindwa kufuzu mbio za mita 5,000.
Hata hivyo katika mbio za mwaka huu, Farah...

 

10 years ago

Dewji Blog

Askari Fabiola apongezwa kwa kutwaa medali Kilimanjaro Marathon 2015

DSC04265

Mshindi wa Kilimanjaro marathon 2015 WP 4615 CPL Fabiola William wa jeshi la polisi mkoa wa Singida (katikati) akipunga mkono akiwa kwenye msafara uliompokea ukielekea ofisini kwa kamanda wa polisi mkoa wa Singida. WP Fabiola amezaliwa kata ya Ilongero jimbo la Singida kaskazini kata ambayo pia Inspekta Jenerali wa Jeshi la polisi nchini, Ernest Mangu ndiko alikozaliwa.

Na Nathaniel Limu, Singida

JESHI la polisi mkoa wa Singida,limeahidi kuendelea kuwahimiza na kuwahamasisha askari wake...

 

11 years ago

Michuzi

Lions Club Yamtunuku Rais Kikwete Medali ya Uongozi Bora

Gavana wa Shirika la Lions Club nchini Bwana Wilson Ndesanjo akimvika Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete medali maalum ya Uongozi Bora na mahusiano mema wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Bwana Ndesanjo alisema klabu hiyo imeamua kumtunuku Rais Kikwete medali hiyo kwa kutambua mafanikio makubwa yaliyopatikana nchini katika Nyanja mbalimbali kutokana na uongozi wake mahiri. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na Gavana wa Shirika la Lions Club...

 

11 years ago

GPL

MREMBO AFA AKIJIANDAA KWENDA DUBAI

Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
BINTI mmoja aliyefahamika  kwa  jina la Suzana Adamu (20), mkazi  wa Mazizini- Ukonga jijini Dar amefariki dunia kwa kugongwa na gari akitoka  kukamilisha taratibu za  viza kwa ajili ya kwenda  Dubai kufanya kazi. Ndugu wa marehemu Suzana Adamu wakilia kwa uchungu. Kwa mujibu wa  mashuhuda  wa ajali  hiyo, ilitokea Agosti Mosi, mwaka huu saa 2:30 ...

 

10 years ago

Michuzi

Treni ya kwenda Bara yaahirishwa hadi kesho Jumatano Juni 10, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kuwataarifu wananchi na abiria waliokuwa wasafiri na treni ya leo Juni 09, 2015 kutoka Dar es Salaam kwenda bara kuwa safari hiyo imeahirishwa hadi kesho Jumatano saa 11 jioni.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo sababu za kuahirishwa safari hiyo ni ajali ya treni ya mizigo iliyotokea usiku wa kuamkia leo Jumanne Juni 09, 2015 maeneo ya Stesheni za Ngeta na Ruvu mkoani Pwani ambapo mabehewa matano yenye shehena ya sukari yameanguka...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA BAADA YA KUZIPIGA KIBAJAJA MBEYA CITY NA PRISON SASA KUPAA KWENDA BOTSWANA JUMATANO HII.

YANGA wameendelea kujikita kileleni mwa ligi kuu soka Tanzania bara kufuatia kuichapa Mbeya City fc mabao 3-1  na Prison 3-0 katika mechi za ligi kuu zilizopigwa huko Mbeya Yanga imezoa point 6 na magoli 6 kwenye uwanja huo baada ya kuzipiga Prison na Mbeya City Kibajaja kila mmoja jumatano hii Yanga kupaa kwenda Botswana wakiwa na matumaini makubwa ya kushinda kwenye mchezo huo utakaopigwa Ijumaa hii huko Botswana na timu ya BDF XI.

 

10 years ago

Dewji Blog

Dar watamba mbio za magari zilizofanyika Arusha

Na Woinde Shizza, libeneke la kaskazini  blog

Mwendesha magari Randeep Shingh kutoka jijini Dar es Salam ameibuka mshindi katika mashindano  ya kila mwaka ya  mbio za nyika za magari  nane-nane rally yaliyotimua vumbi katika mji wa Arusha  mwishoni mwa wiki.

Mashindano hayo yamefanykia kwa siku mbili mfululizo huku yakishuhudiwa ushindani mkali kwa madereva hao waliotoka mikoa mbalimbali na Randeep Shingh akiwa na msoma ramani Guvinder Singh wa gari ya Mitsubishi lancer akiibuka mshindi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani