Dar watamba mbio za magari zilizofanyika Arusha
Na Woinde Shizza, libeneke la kaskazini blog
Mwendesha magari Randeep Shingh kutoka jijini Dar es Salam ameibuka mshindi katika mashindano ya kila mwaka ya mbio za nyika za magari nane-nane rally yaliyotimua vumbi katika mji wa Arusha mwishoni mwa wiki.
Mashindano hayo yamefanykia kwa siku mbili mfululizo huku yakishuhudiwa ushindani mkali kwa madereva hao waliotoka mikoa mbalimbali na Randeep Shingh akiwa na msoma ramani Guvinder Singh wa gari ya Mitsubishi lancer akiibuka mshindi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Dec
Baiskeli Arusha watamba Karatu
MKOA wa Arusha jana ulitamba katika tamasha la 14 la michezo na utamaduni la Karatu baada ya kushika nafasi 14 za kwanza katika mchezo wa mbio za baiskeli za kilometa 60 kwa wanaume.
9 years ago
Michuzi
LUCIAN NA FABIAN JOSEPH WATAMBA ARUSHA TOURISM MARATHON



Na Woinde Shizza,Arusha
Mwanariadha Reginal Lucian alifanikiwa kushinda kwa upande wawanaume,katika shindano la Arusha Tourism Marathon baada ya kutumiamuda wa 1:00:05,akifatiliwa na mwanariadha wa kimataifa,...
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Apiga picha katikati ya mbio za magari
10 years ago
Michuzi
Benki ya Exim Ilivyoshiriki Katika Mbio za Magari Tanga


10 years ago
Bongo523 Nov
Picha: Lewis Hamilton anyakua ubingwa wa dunia wa mbio za magari za Formula One
10 years ago
MichuziMAANDALIZI MBIO ZA MAGARI YAKAMILIKA,SASA KUFANYIKA JUMAPILI HII MAENEO YA KIA
Mafundi wakiweka mafuta ya ndege katika moja ya magari yanayoshiriki mbio hizo.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
10 years ago
Vijimambo
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Dar Swim Club watamba kutwaa medali, kwenda Dubai Jumatano
Wachezaji wa klabu ya Dar Swim Club wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuondoka.
Na Mwandishi wetu
Kocha wa klabu ya kuogolea ya Dar Swim Club, Michael Livingstone ametamba kuwa waogelaji wake chipukizi watatwaa medali mbalimbali katika mashindano ya kuogelea ya kimataifa ya Dubai yanayojulikana kwa jina la “Hamilton Aquatics Dubai Long Course” yaliyopangwa kuanza Desemba 11.
Akizungumza jijini jana, Livingstone alisema kuwa waogeleaji wote 13 wapo katika morali ya hali ya juu baada ya...
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Mustafa Panju kuingia katika mbio za ubunge Arusha mjini
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha, Mustafa Panju akiongea na vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake akitangaza rasmi kuwania kiti cha ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha, Mustafa Panju akiongea na vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake ,akitangaza rasmi kuwania kiti cha ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia tiketi ya Chama cha...