Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baiskeli Arusha watamba Karatu

MKOA wa Arusha jana ulitamba katika tamasha la 14 la michezo na utamaduni la Karatu baada ya kushika nafasi 14 za kwanza katika mchezo wa mbio za baiskeli za kilometa 60 kwa wanaume.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Dar watamba mbio za magari zilizofanyika Arusha

Na Woinde Shizza, libeneke la kaskazini  blog

Mwendesha magari Randeep Shingh kutoka jijini Dar es Salam ameibuka mshindi katika mashindano  ya kila mwaka ya  mbio za nyika za magari  nane-nane rally yaliyotimua vumbi katika mji wa Arusha  mwishoni mwa wiki.

Mashindano hayo yamefanykia kwa siku mbili mfululizo huku yakishuhudiwa ushindani mkali kwa madereva hao waliotoka mikoa mbalimbali na Randeep Shingh akiwa na msoma ramani Guvinder Singh wa gari ya Mitsubishi lancer akiibuka mshindi...

 

9 years ago

Michuzi

LUCIAN NA FABIAN JOSEPH WATAMBA ARUSHA TOURISM MARATHON

Afisa utalii wa tanapa fredy shirima akiwa anamkabidhi zawadi Mwanariadha Reginal Lucian baada ya kushinda kilometa 42,baada ya kukimbia kwa muda wa  1:00:05. Baadhi ya wanariadha walifanikiwa kupata zawadi katika shindano Arusha tourism Marathon wakiwa katika picha ya pamoja .

Na Woinde Shizza,Arusha 

Mwanariadha Reginal Lucian alifanikiwa kushinda kwa upande wawanaume,katika shindano la Arusha Tourism Marathon baada ya kutumiamuda wa 1:00:05,akifatiliwa na mwanariadha wa kimataifa,...

 

11 years ago

TheCitizen

Arusha High Court Division to open branch in Karatu

A Criminal Session Centre for the High Court will be set up in Karatu to serve Mbulu, Ngorongoro and Karatu districts, it was announced here on Monday.

 

10 years ago

Daily News

Lema to defend Arusha city seat as Qambalo okayed for Karatu


Lema to defend Arusha city seat as Qambalo okayed for Karatu
Daily News
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) party members in Arusha city have once more endorsed Mr Godbless Lema to vie for the Arusha Urban constituency seat in the October 2015 general elections. The party's preferential election in Arusha ...

 

10 years ago

Vijimambo

MWILI WA MKE WA MWANAHABARI THOBIAS MWANAKATWE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KARATU MKOANI ARUSHA

 Mhariri wa Gazeti la Nipashe, Jesse Kwayu (kushoto), na waombolezaji wengine wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mke wa mwanahabari wa Kampuni ya The Guardian, Thobias Mwanakatwe, Levina Genda wakati wakilipekeka kwenye gari tayari kwa safari ya kwenda Karatu mkoani Arusha kwa mazishi yatakayofanyika kesho. Waombolezaji wakiwa kwenye ibada ya kumuaga Levina Genda, iliyofanyika Hospitali ya Amana Ilala Dar es Salaam leo asubuhi.
 Hapa ni huzuni umetawala. Wafanyakazi wenzake na Thobias...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwili wa mke wa mwanahabari Thobias Mwanakatwe waagwa Jijini Dar, mazishi kufanyika leo Karatu mkoani Arusha

Mhariri wa Gazeti la Nipashe, Jesse Kwayu (kushoto), na waombolezaji wengine wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mke wa mwanahabari wa Kampuni ya The Guardian, Thobias Mwanakatwe, Levina Genda wakati wakilipekeka kwenye gari tayari kwa safari ya kwenda Karatu mkoani Arusha kwa mazishi yatakayofanyika leo.

Mwanahabari wa Kampuni ya The Guardian Ltd, Thobias Mwanakatwe akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa mke wake, Levina Genda wakati wa ibada ya kumuaga iliyofanyika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tigo yadhamini safari ya mwendesha Baiskeli Elvis Munis “Lelo” kutoka Chile hadi Kilimanjaro apokelewa jijini Arusha kwa shwangwe

Lelo6

Mwendesha baiskeli Elvis Munis “Lelo” ambaye ameendesha baiskeli jumla ya nchi 47, kilomita 28,000 kutoka Chile hadi Kilimanjaro(Chile to Kili) akipokewa mjini Arusha juzi, Mwendesha baiskeli huyo amezunguka nchi mbalimbali kwa lengo kuhamasisha kuchangia mfuko  wa kusomesha wanafunzi kupitia mpango wa CRC,safari yake ilipata udhamini kutoka kampuni ya simu za Mikononi Tigo.

Lelo4

Lelo3

 

 

10 years ago

Habarileo

Simba Queens watamba

TIMU ya soka wasichana ya Simba Queens jana iliibuka na ushindi wa 2 – 0 dhidi ya timu ya Ilala katika michuano ya vijana ya U-17 ya Airtel Rising Stars kwa mkoa wa kisoka wa Ilala.

 

9 years ago

BBCSwahili

Murray, Nadal watamba

Muingereza Andy Murray anayeshika nafasi ya pili kwa ubora duniani ameanza vema michuano ya dunia ya tenesi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani