Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBIO ZA URAISI - JULY.28.2015 KUONGEA NI SHIDA HATA KABLA YA MBIO MBIO ZA KUJITANGAZA

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

MTANZANIA ZINDUKAAA!!!!CCM WATAPA-TAPA: “TUNAWEZA” Ni Matokeo ya Mbio za Uraisi Ndani ya CCM

Assalamu alaikhum Ndugu Wazanzibari wa Ndani na Nje ya Visiwa Vyetu. Assalamu Alaikhum Ndugu Watanganyika Wa Ndani na Nje Ya Nchi Yetu. Assalamu alaikhum Watanzania Wote Kwa Ujumla Wenu.. Ama mimi sina budi ila Kumshukuru Allah […]

The post MTANZANIA ZINDUKAAA!!!!CCM WATAPA-TAPA: “TUNAWEZA” Ni Matokeo ya Mbio za Uraisi Ndani ya CCM appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

MBIO ZA URAIS 2015



 Ngeleja naye afunguka
NA PETER KATULANDA, MWANZA
WAKATI vijana wakiendelea kupigiwa upatu katika harakati za kuwania urais katika uchaguzi mkuu mwakani, Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, ameibuka na kuweka mambo hadharani.

Ngeleja, ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini na miongoni mwa wanasiasa vijana wanaotajwa kuwa wanatosha kwenye nafasi hiyo, amesema ni mapenzi ya Mungu ndiyo yatamwongoza kuwania nafasi hiyo au kuendelea na ubunge.
“Kwa sasa naendelea kutii maagizo ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Mbio za urais 2015 zaipasua UVCCM

Mwenyekiti wa UVCCM taifa, Sadifa Juma Khamis

Mwenyekiti wa UVCCM taifa, Sadifa Juma Khamis

NA MWANDISHI WETU, Dodoma

MAKUNDI ya urais yanadaiwa kuugawa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ambapo imeelezwa kuwa baraza kuu la umoja huo, limegoma kupitisha jina la Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuwa Naibu Kamanda wa umoja huo upande wa Tanzania Bara.

Hayo yamejitokeza katika vikao vya baraza kuu la umoja huo ambalo lilikuwa na vikao vyake mjini hapa kuanzia Novemba 7, 2014 na kuhitimishwa jana.

Taarifa kutoka ndani ya kikao hicho...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Dewji Blog

Pinda atajwa mbio za Urais 2015

PG4A2888

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipigiwa magoti na Matrida Kitwanga (kulia) mke wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (kulia) baada ya kuwasili nyumbani kwa Naibu Waziri huyo, eneo la Usagara, nje kidogo ya jiji la Mwanza ambako alikwenda kumpa pole kufuatia kifo cha mwanae Vedastus Kitwanga kilichotokea hivi karibuni. Katikati ni binti wa familia hiyo,Agnes Misoji Kitwanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Na Mwandishi wetu

Wakati makada watano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbio za Dunia za Nyika March 28,2015

Wachezaji wa riadha wa Tanzania wameweka kambi ya mazoezi Kaskazini mwa Tanzania kushiriki mbio za Nyika za dunia China Machi 28.

 

10 years ago

Vijimambo

Membe akerwa ripoti ya mbio za urais 2015

 Ni ya Twaweza aliyoshika nafasi ya tanoWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe.
Twaweza Jumatano iliyopita ilitoa ripoti ya utafiti, pamoja na mambo mengine ikionyesha baadhi ya majina ya wagombea urais wanavyokubalika kwa wananchi ikiwa uchaguzi wa rais ungefanyika Septemba mwaka huu.

Katika orodha hiyo, Membe alishika nafasi ya tano kwa kupata asilimia tano, huku akitanguliwa na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliyeshika nafasi ya kwanza kwa kupata asilimia 13;...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

MBIO ZA URAIS 2015 Sitta awararua wapinzani wake

Awafananisha na wachekeshaji wa mfalmeWasifu wake ukiaminiwa, atajitosa kuwaniaAtuma salamu yuko imara, hatishiwi nyauNa Happiness Mtweve, Dodoma 
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameibuka na kujibu mapigo dhidi ya watu wanaomkejeli na kumtolea lugha za matusi kuwa ni sawa na wachekeshaji wa mfalme.
Amesema yuko imara na kamwe hawezi kutishwa na kauli za watu wasio na maono na kwamba, ataongoza bunge hilo kwa kasi na viwango vile vile.
Akifungua kikao cha Bunge hilo baada ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania wafanya vizuri mbio za Ngorongoro Marathoni 2015

Waziri mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine mbalimbali wakiwemo waandaji muda mfupi kabla ya kuanza kwa mbio za Km 21 Katika gate la kuingilia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro. Waziri mkuu Mstaafu Frederick Sumaye akikimbia sambamba na Rais wa shirikisho la Riadha Tanzania, RT, Athony Mtaka (Kushoto kwake) Mkuu wa mkoa wa Arusha ,Daud Ntibenda, pamoja na mkuu wa wilaya ya Karatau, Omary Kwaang kuashiria kuanza kwa mbio za Ngorongoro Marathoni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani