Watanzania wafanya vizuri mbio za Ngorongoro Marathoni 2015
Waziri mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine mbalimbali wakiwemo waandaji muda mfupi kabla ya kuanza kwa mbio za Km 21 Katika gate la kuingilia hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.
Waziri mkuu Mstaafu Frederick Sumaye akikimbia sambamba na Rais wa shirikisho la Riadha Tanzania, RT, Athony Mtaka (Kushoto kwake) Mkuu wa mkoa wa Arusha ,Daud Ntibenda, pamoja na mkuu wa wilaya ya Karatau, Omary Kwaang kuashiria kuanza kwa mbio za Ngorongoro Marathoni.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMBIO ZA KIMATAIFA ZA NGORONGORO MARATHONI SASA KUFANYIKA APRILI 18 MWAKA HUU
10 years ago
MichuziHatua za mwisho za Maandalizi Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2015
10 years ago
MichuziMSIMU WA 13 WA MBIO ZA KIMATAIFA ZA KILIMANJARO MARATHONI WAZINDULIWA MJINI MOSHI
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/x5nfMUvOqsg/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog12 Apr
Mbio za kimataifa za Ngorongoro Marathon sasa kufanyika Aprili 18
Waandaaji wa mbio za kimataifa za Ngorongoro Maratahoni katika mkutano na wanahabari kuzungumzia maandalizi ya mwisho ya mbio hizo zinazotarajia kufanyika Aprili 18 mwaka huu ,Karatu mkoani Arusha.
Mkurugenzi wa Zara Tanzania Adventure na Zara Charity,Zainab Ansel akizungumza na wanahabari kuhusu maandalizi ya mbio hizo ambazo zinadhaminiwa na Shirika lisilo la kiserikali la Zara Charity.
Mratibu wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni Meta Peter akizungumzuia wanariadha wa Tanzania ambao...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MBjxXEXvjl0/VTiHb2YGa4I/AAAAAAAC3hQ/qDDHXN2ufuc/s72-c/Exim%2BPix%2B1.jpg)
Benki ya Exim yapiga jeki mbio za marathon Ngorongoro
![](http://3.bp.blogspot.com/-MBjxXEXvjl0/VTiHb2YGa4I/AAAAAAAC3hQ/qDDHXN2ufuc/s1600/Exim%2BPix%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-k3YMfVYSBa4/VTiHhjbjobI/AAAAAAAC3hY/mUovDxR81o8/s1600/Exim%2BPix%2B2.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lzxcmq-zAXY/Xmoo3B20_tI/AAAAAAALiw4/IMFTK7AB6tI8pP8Jcz9eX0HOV-odClC4QCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200312_103909_875.jpg)
MBIO ZA NGORONGORO MIN MARATHON KUFANYIKA APRIL 19 MWAKA HUU
![](https://1.bp.blogspot.com/-lzxcmq-zAXY/Xmoo3B20_tI/AAAAAAALiw4/IMFTK7AB6tI8pP8Jcz9eX0HOV-odClC4QCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200312_103909_875.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-ywjsujyXbt8/Xmn9yuW3KBI/AAAAAAAAIZw/iEICejG1eRsmzY0GdWyYW2rqs4j36XULgCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200312_103918_833.jpg)
Mazungumzo yakiendelea kuelezea msimu wa Mbio za Ngorongoro min Marathon za mwaka huu April 19 wilayani Karatu picha na Ahmed Mahmoud Arusha
Na Ahmed Mahmoud Arusha .
Msimu wa mbio za Ngorongoro mwaka 2020...
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Wabunge Kilimanjaro wafanya vizuri kielimu
WABUNGE wa Mkoa wa Kilimanjaro wamekuwa vinara katika kuboresha elimu ya shule ya msingi kwa kupata wastani wa asilimia 82 sawa na daraja ‘A’ wakati wabunge wa mikoa ya Singida...
9 years ago
Mwananchi24 Nov
Waliookolewa ajira za utotoni wafanya vizuri darasani