Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Membe akerwa ripoti ya mbio za urais 2015

 Ni ya Twaweza aliyoshika nafasi ya tanoWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe.
Twaweza Jumatano iliyopita ilitoa ripoti ya utafiti, pamoja na mambo mengine ikionyesha baadhi ya majina ya wagombea urais wanavyokubalika kwa wananchi ikiwa uchaguzi wa rais ungefanyika Septemba mwaka huu.

Katika orodha hiyo, Membe alishika nafasi ya tano kwa kupata asilimia tano, huku akitanguliwa na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliyeshika nafasi ya kwanza kwa kupata asilimia 13;...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Benard Membe Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Kuanguka Mbio za Urais- CCM


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amefunguka kwa mara ya kwanza na kuweka wazi kilichotokea mjini Dodoma na kusababisha ashindwe katika uteuzi wa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Membe amekuwa kada wa tatu kueleza hadharani jinsi uteuzi huo ulivyoendeshwa ambao Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, aliibuka kidedea kati ya makada 42 waliojitokeza kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa.Makada wengine waliojitokeza hadharani kuelezea mchakato huo ni...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

MBIO ZA URAIS 2015



 Ngeleja naye afunguka
NA PETER KATULANDA, MWANZA
WAKATI vijana wakiendelea kupigiwa upatu katika harakati za kuwania urais katika uchaguzi mkuu mwakani, Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja, ameibuka na kuweka mambo hadharani.

Ngeleja, ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini na miongoni mwa wanasiasa vijana wanaotajwa kuwa wanatosha kwenye nafasi hiyo, amesema ni mapenzi ya Mungu ndiyo yatamwongoza kuwania nafasi hiyo au kuendelea na ubunge.
“Kwa sasa naendelea kutii maagizo ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Mtanzania

Mbio za urais 2015 zaipasua UVCCM

Mwenyekiti wa UVCCM taifa, Sadifa Juma Khamis

Mwenyekiti wa UVCCM taifa, Sadifa Juma Khamis

NA MWANDISHI WETU, Dodoma

MAKUNDI ya urais yanadaiwa kuugawa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ambapo imeelezwa kuwa baraza kuu la umoja huo, limegoma kupitisha jina la Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuwa Naibu Kamanda wa umoja huo upande wa Tanzania Bara.

Hayo yamejitokeza katika vikao vya baraza kuu la umoja huo ambalo lilikuwa na vikao vyake mjini hapa kuanzia Novemba 7, 2014 na kuhitimishwa jana.

Taarifa kutoka ndani ya kikao hicho...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda atajwa mbio za Urais 2015

PG4A2888

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipigiwa magoti na Matrida Kitwanga (kulia) mke wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (kulia) baada ya kuwasili nyumbani kwa Naibu Waziri huyo, eneo la Usagara, nje kidogo ya jiji la Mwanza ambako alikwenda kumpa pole kufuatia kifo cha mwanae Vedastus Kitwanga kilichotokea hivi karibuni. Katikati ni binti wa familia hiyo,Agnes Misoji Kitwanga.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Na Mwandishi wetu

Wakati makada watano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

MBIO ZA URAIS 2015 Sitta awararua wapinzani wake

Awafananisha na wachekeshaji wa mfalmeWasifu wake ukiaminiwa, atajitosa kuwaniaAtuma salamu yuko imara, hatishiwi nyauNa Happiness Mtweve, Dodoma 
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameibuka na kujibu mapigo dhidi ya watu wanaomkejeli na kumtolea lugha za matusi kuwa ni sawa na wachekeshaji wa mfalme.
Amesema yuko imara na kamwe hawezi kutishwa na kauli za watu wasio na maono na kwamba, ataongoza bunge hilo kwa kasi na viwango vile vile.
Akifungua kikao cha Bunge hilo baada ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyalandu ajitosa rasmi mbio za Urais kupitia CCM 2015

WAZIRI wa maliasili na utalii na mbunge wa jimbo la Singida kaskazini(CCM) ,Lazaro Samwel Nyalandu,ametangaza rasmi nia ya kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Membe: Tulikaangwa, tuliulizwa maswali magumu urais 2015

>Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe amesema aliulizwa maswali mazito na Kamati Ndogo ya Maadili ya CCM inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, Phillip Mangula kuhusu mbio za urais 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani