Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaja aota kutwaa kiatu cha dhahabu Ligi Kuu

Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santana ‘Jaja’ amebainisha kuwa amepata nguvu mpya kuichezea Yanga na sasa anapiga hesabu ya kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu msimu huu na kutwaa kiatu cha dhahabu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Ronaldo atwaa kiatu cha dhahabu

Cristiano Ronaldo ametunukiwa kiatu cha Dhahabu ya kwa Ufungaji Bora huko Ulaya

 

11 years ago

GPL

NEYMAR ATAKAVYOBEBA KIATU CHA DHAHABU

Staa wa Brazil, Neymar. Makala
RIO DE JANEIRO, Brazil
KIULIZA washambuliaji ambao wapo ‘on fire’ kwenye michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Brazil, haraka jina la Neymar litatajwa na wengi, staa huyo wa Brazil ameshafunga mabao manne mpaka sasa katika michuano hiyo. Kasi yake inamaanisha kuwa anaweza kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo na kubeba kiatu cha dhahabu ambacho kinawaniwa na mastraika wengine...

 

9 years ago

Mwananchi

Kiatu cha dhahabu chanukia kwa Samatta

Ligi ya Mabingwa Afrika imefika patamu. Klabu ya USM Alger ya Algeria  itakutana na TP Mazembe ya DR Congo katika mechi ya fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayochezwa kwenye Uwanja wa Du 5 Juillet mjini Algiers, Algeria kati ya Oktoba 30 na Novemba 1, 2015 na mechi ya marudiano itachezwa kwenye Uwanja wa Frederic Kibassa Maliba mjini Lubumbashi, DR Congo kati ya Novemba 6 na 8, 2015.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bravo Azam FC kutwaa ubingwa Ligi Kuu Bara

TIMU ya Azam FC inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar es Salaam, Said Salim Bakhresa, jana ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa ni mara ya kwanza tangu...

 

11 years ago

Michuzi

AZAM FC KULAMBA MILIONI 75 KWA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM

Meneja uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim, akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa kutangaza zawadi za washindi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ambapo Azam FC ambaye ndie bingwa atanyakua Milioni 75. Pamoja nae katika picha, wa kwanza kutoka kulia kwake  niAfisa Habari wa TFF, Boniface Wambura  na Afisa Matukio na Udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude. Mdhamini Mkuu wa Ligi kuu Vodacom Tanzania Bara kampuni ya Mawasiliano  ya Vodacom...

 

9 years ago

Vijimambo

MUINGEREZA MO FARAH AWASHINDA WAKENYA NA KUTWAA MEDALI YA DHAHABU

Mwanariadha Mo Farah amefanikiwa kutwaa taji lake la dunia na kwa kutetea taji lake la mbio za mita 10,000, licha ya kupoteza balansi katika raundi ya mwisho na kutwaa medali ya kwanza ya dhahabu kwa Uingereza katika mbio za Mabingwa Duniani. Mo Farah akichuana na wakenya Kamoror na TanuiMiaka saba iliyopita katika uwanja huo huo wa Jijin Beijing nchini China, Farah aliaondolewa katika michuano ya Olimpiki baada kushindwa kufuzu mbio za mita 5,000.
Hata hivyo katika mbio za mwaka huu, Farah...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani