AZAM FC KULAMBA MILIONI 75 KWA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM
![](http://4.bp.blogspot.com/-pEVEX7lZlR0/U1l0HvCgZEI/AAAAAAAFct8/tqdQPz-e1wg/s72-c/unnamed.jpg)
Meneja uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim, akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa kutangaza zawadi za washindi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ambapo Azam FC ambaye ndie bingwa atanyakua Milioni 75. Pamoja nae katika picha, wa kwanza kutoka kulia kwake niAfisa Habari wa TFF, Boniface Wambura na Afisa Matukio na Udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude.
Mdhamini Mkuu wa Ligi kuu Vodacom Tanzania Bara kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Bravo Azam FC kutwaa ubingwa Ligi Kuu Bara
TIMU ya Azam FC inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar es Salaam, Said Salim Bakhresa, jana ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa ni mara ya kwanza tangu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcKNL29GCgeuMyN*HeEEQ2qAwEgY65MA0zq103XPb7Hw5aMTAjS7R0*EhmMamgaFxVsE0rIAShIg5EQrygI-6VUX/_MG_0076.jpg?width=650)
VODACOM YAWAPA TANO AZAM KWA KUTWAA UBINGWA VPL
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Yaliyojiri Azam Complex sherehe za ubingwa Ligi Kuu ya Vodacom
DIMBA la Azam Complex, lililoko Chamazi wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, juzi lilikuwa na sura mbili, zote zikibeba taswira ya furaha kwa mashabiki na klabu mwenyeji wa uwanja huo,...
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Azam wamestahili ubingwa Ligi Kuu
TIMU ya soka ya Azam, imetawazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2013/14, baada ya kufikisha pointi 62 katika mechi 26 walizocheza katika ligi hiyo iliyoanza Agosti...
10 years ago
Michuzi18 Jan
ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...