VODACOM YAWAPA TANO AZAM KWA KUTWAA UBINGWA VPL
![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcKNL29GCgeuMyN*HeEEQ2qAwEgY65MA0zq103XPb7Hw5aMTAjS7R0*EhmMamgaFxVsE0rIAShIg5EQrygI-6VUX/_MG_0076.jpg?width=650)
Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampumi hiyo, Salum Mwalim. Mdhamini Mkuu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wameipongeza timu ya Azam FC kwa kufanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi hiyo kwa msimu wa 2013/2014 ikiwa ni Mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake miaka 7 iliyopita. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa mechi kati ya Mbeya City na Azam FC kwenye uwanja wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-pEVEX7lZlR0/U1l0HvCgZEI/AAAAAAAFct8/tqdQPz-e1wg/s72-c/unnamed.jpg)
AZAM FC KULAMBA MILIONI 75 KWA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM
![](http://4.bp.blogspot.com/-pEVEX7lZlR0/U1l0HvCgZEI/AAAAAAAFct8/tqdQPz-e1wg/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Bravo Azam FC kutwaa ubingwa Ligi Kuu Bara
TIMU ya Azam FC inayomilikiwa na mfanyabiashara maarufu wa jijini Dar es Salaam, Said Salim Bakhresa, jana ilitwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa ni mara ya kwanza tangu...
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
DRFA yaipongeza Azam ubingwa VPL
CHAMA cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), kimeipongeza timu ya Azam FC kwa kufanikiwa kwa mara ya kwanza katika historia yake kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom...
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Yaliyojiri Azam Complex sherehe za ubingwa Ligi Kuu ya Vodacom
DIMBA la Azam Complex, lililoko Chamazi wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, juzi lilikuwa na sura mbili, zote zikibeba taswira ya furaha kwa mashabiki na klabu mwenyeji wa uwanja huo,...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/lyH8li5tDqs/default.jpg)
TP Mazembe yanyakuwa ubingwa wa Afrika kwa mara ya tano
Wafanyabiashara mkoani arusha wakumbushwa kuzingatia usafi ili kuepuka magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu; https://youtu.be/cyySdQKD4T0Wachimba wadogo wadogo mkoani kagera waitaka serikali kuangalia upya sheria ya madini namba 14 ya mwaka 2010 ambayo ni ki kikwazo kwao; https://youtu.be/kleNi6hYUiUHofu ya uchaguzi mkuu nchini Imetajwa kusababisha kupungua kuja kwa watalii wa nje...
11 years ago
Mwananchi16 May
Nditi aisaidia Chelsea kutwaa ubingwa
9 years ago
BBCSwahili29 Nov
Fury amchapa Klitschko na kutwaa ubingwa